Kwa nini niseme uongo? Siwezi kujua kazi imefikia asilimia ngapi maana mimi si mtaalam, ila kwa kibarua changu angalau mara mbili kila wiki nakwenda Soga ilipo camp kubwa ya Yapi Markezi kwa lot one (DSM-Moro) naona kazi inaendelea.Endelea kuota, ila hata ukiamka baada ya 2025 ujenzi bado utakuwa ni 75%.
Sehemu kubwa reli tayari.