JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Hapo papo hivyo muda sasa.Hao kina Francis Da Don ni mapunguani au wanatumwa kupinga kila wazo bila kutumia akili.
Gazeti la Serikali, linaweka front page, kazi iliyoota nyasi, na ina hang hewani kama mahame, tena pale si mbali na ilipoanzia ujenzi, miaka mitano hivi iliyopita, halafu vichwa panzi hawauoni ujumbe.
Vichwa vyenu vya kunywea kangara.