Siyo siri, miradi mikubwa kama SGR, inaota nyasi. Hali ni ngumu!

Sawa mkuu ungweza kuelezea kwa picha kuliko hiyo ya Daily News ingependeza kidogo.
 
Markez ni mabingwa wa kuharibu magari ya watu narudia tena kusema usije kuwakodishia gari yako tafadhali,la sivyo jiandae kurudishiwa gari lako likiwa kama vile limetoka vitani.
 
Markez ni mabingwa wa kuharibu magari ya watu narudia tena kusema usije kuwakodishia gari yako tafadhali,la sivyo jiandae kurudishiwa gari lako likiwa kama vile limetoka vitani.
Mkataba wa ukodishaji ndiyo mpango mzima.

Unapokodisha unapaswa uzingatie Hilo unapata faida? Au ndo unajimaliza!!!
 
Mkataba wa ukodishaji ndiyo mpango mzima.

Unapokodisha unapaswa uzingatie Hilo unapata faida? Au ndo unajimaliza!!!
Bro we peleka tu gari lako pale then majibu yako utayapata na ukiwa na huo mkataba wako mkononi.
 
Hahahaha, umetoa angalizo ! Hakika ukitanguliza njaa bila kujali mwisho wa mkataba unabaki na nini? Ni hatariii

Hahah acha kabisa mzee baba,yaani gari ikiletwa mpk unajiuliza hivi hili gari lilikua linafanya kazi gani huko site: taa zimevunjwa,bodi imeparuriwa balaa mpk rangi imeisha/body imepondeka ,music system imekufa,hand brake haifanyi kazi,power starring kushnei,diff wameiua yaani kwa kweli ni hasara sana aisee.
 
Jamaa hawajali vyombo vyetu hawa. Kwa ujenzi wapo vizuri,ile kwa matunzo ya vyombo tulivuokodisha ni shida. Kuna "mende" 8 dogo kawakodisha,analia kuwa zinafubaishwa. Waliangalie hilo kwa kweli.
Markez ni mabingwa wa kuharibu magari ya watu narudia tena kusema usije kuwakodishia gari yako tafadhali,la sivyo jiandae kurudishiwa gari lako likiwa kama vile limetoka vitani.
 
Jamaa hawajali vyombo vyetu hawa. Kwa ujenzi wapo vizuri,ile kwa matunzo ya vyombo tulivuokodisha ni shida. Kuna "mende" 8 dogo kawakodisha,analia kuwa zinafubaishwa. Waliangalie hilo kwa kweli.
Tunashukuru kwa feedback toka kwenu nyie wazalendo.
Kuna waanaoshabikia hata Kisarawe hawajafika.
 
Jamaa hawajali vyombo vyetu hawa. Kwa ujenzi wapo vizuri,ile kwa matunzo ya vyombo tulivuokodisha ni shida. Kuna "mende" 8 dogo kawakodisha,analia kuwa zinafubaishwa. Waliangalie hilo kwa kweli.
Wale jamaa ni wakuda per se aisee,mimi zangu nimeshazirudisha na ku-park home maana walichoifanya ni kwamba nimepata hasara kwa 100% mkuu.
 
Tatizo ni wanasheria. Sio Wanasayansi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwe mwe mweeee aijawai kusemwa hivyo. Ulikuwa 2019/December

Sent using Jamii Forums mobile app

Na Ile habari ya kusema kazi itafanywa usiku na mchana (na wanajeshi kupelekwa ili kuongeza nguvu) lengo lilikuwa kumaliza mradi lini?
Anyway, nikubali kuwa mradi ulitangazwa kukamilika December 2019, and what happened? Hiyo December 2019 bado tu haijafika?
 
Mkuu matatizo tunayaona.
Maendelo hapa mjini tunayaona kwa mapungufu yake ambayo si ya kukusudiwa.
Jambo la msingi ni walipa kodi kuwa updated kama inavyostahili.

Sasa kuna watu hapa wanaona ila wanabisha wakifikiri tunapinga mradi.
Kama kuna tatizo wananchi tuelezwe tusaidie kutatua ingalau hata kwa kulielewa tatizo tatizo lenyewe.
 
A picture speaks a thousand words.
Kuna watu hata akiona picha ya mtu amelala chini anatoka povu watasema anatoa Moshi wa sigara.
 
Ulijiuliza mradi unaanzia dar mpaka wapi na Kuna wakandarasi wangapi... Na mradi ni unaendelea unapita sehem mbalimbali sio Kama Majengo (Soko, Hospital n.k) So subiri ukiona mradi ukizinduliwa na ukapanda kitu kinachotembea kwa umeme.Over
 
Yeah...inafikirisha....unaweza kuelewa ni kwa nini watu fulani wanapata tabu kukubali uwepo wa janga la corona (covid19)! Na vikao tunasusa😱😱

Itapunguza kura....picha za miradi isiyokamilika hazinogi......lyrics za kuombea kura zilishaandaliwa, sasa kuanza kuzibadili kwa muda huo uliobaki mziki mzima utaharibika.

Napita tu jameni.
 
Kwani hana back up plan? Nyie si donor country? Pambaneni!
 
Reactions: SMU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…