Siyo tu Mkurugenzi wa Kahama, David Msumba alistahili msamaha, bali hata akina Ben Saanane na Azory Gwanda nao wangesamehewa tu

Siyo tu Mkurugenzi wa Kahama, David Msumba alistahili msamaha, bali hata akina Ben Saanane na Azory Gwanda nao wangesamehewa tu

Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Walifanya makosa gani hao mpaka wasamehewe? Wamehukumiwa kwa hayo makosa walotenda unayoyafahamu?

Halafu mkurugenzi wa Kahama anaitwa Anderson David Msumba kwa taarifa.
 
Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Yule ni shetani hata alale kanisani ni shetani tu. Kitendo cha kuwauwa maelfu ya watu wasio na hatia kule MKIRU ni ushetani na lana itaandama mpaka kizazi vyake
 
Back
Top Bottom