Siyo tu Mkurugenzi wa Kahama, David Msumba alistahili msamaha, bali hata akina Ben Saanane na Azory Gwanda nao wangesamehewa tu

Siyo tu Mkurugenzi wa Kahama, David Msumba alistahili msamaha, bali hata akina Ben Saanane na Azory Gwanda nao wangesamehewa tu

Fumbo mfumbie mjinga. Aliyoandika ni wazi kabisa. Kinachosumbua hapa ni ujinga wako tu. Hakuna fumbo.
Wee nawee!!!! Ujinga umekujaa mno.
Wapi nimemwambia sijamuelewa?
Mimi nimemuuliza kwanini anaongea kwa mafumbo
 
Kwa taarifa yako huyo ni kada kindaki ndaki, ukiona anayasema haya ujue hali ndani ya ccm ni tetekuwanga

Usisahau kwa Patrobas Katambi alikuaga kada kindakindaki wa chadema na kuna wakati lowasa alikua kada kindakindaki wa CCM na CHADEMA kwa pamoja

Akili kumkichwa 😂😂😂😂
 
Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Umetupa jiwe gizani lakini kuna watu wanapiga makelele... nakufaaaaa! Mashetani ndivyo walivyo. Wanajificha kwenye nyumba za ibada. Na mbaya zaidi wanajua maombi yao ya kinafiki hayasikilizwi hivyo hupayuka mara kwa mara ''mniombee''.
 
Kuna jamaa atakutumia namba pm usithubutu kumtafta ...ni kikosi uchwara
Hahahahaaa na wewe ulishatumia ukatafuta? Watu washaliwa, maisha bora kwa kila mtanzania🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom