Siyo tu Mkurugenzi wa Kahama, David Msumba alistahili msamaha, bali hata akina Ben Saanane na Azory Gwanda nao wangesamehewa tu

Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Na maneno mazuri na kauli njeama asili yake ni Mwenyezi muumba kinyume chake maneno ya ovyo yenye kejeli na kuhukumu kama haya yanayotoka mdomoni mwako asili yake ni SHETANI ALIYE LAANIWA.
'AUDHUBILLAH MINA SHAITWAN RAJIIM'.
 
Umemgeuka Baba yako baada ya dawa kukuingia, tulia dawa ikuingie ndiyo kwanza kumekucha
 
Kumbe nawe huelewagi. Sijang'amua nini?

Mimi nimemuuliza kwanini ameongea kwa mafumbo na sio kwamba sijaelewa
Wengine hatukuona fumbo lolote pale. Tulielewa na kusonga mbele. Lakini akija mtu akasema hicho kilicho wazi ni fumbo hakika hakuelewa. Au ni mkuda tu. Kaelewa lakini anasema ni fumbo ili ... Jikumbushe mabandiko ya P. na makala za Economist. Eti hivi ni kweli na kama ni hivyo wazalendo tutanyamazaje? Mwenye mali kasikia kapotezea. Lakini mpambe kalivalia kengere. Si unajua tena wana nguvu. Mwenye mali anahamaki. Kumbe nililopotezea wameliona wengi. Na wako kinyume cha huyo bwege. Atanitambua. Kabendera akatundikwa. Nani amsimamishe kizimbani? Hayupo. Kama si ugali ni mboga atamwaga. DPP kachukua mamilioni ya dola.
Mama D kama umeelewa si uende kufua nguo za D kesho shule! Umbea mwingine? Genta dola hana. Anatembelea pasi ya kijani bila kujua kuna mpya haijapigwa chapa. Membe anajua sasa. Kaguswa kanukia! Insider kamtahadharisha Genta asikubali pm. Hapo sasa Genta ajisalimishe kwa majeshi ya PK na M7. Mhutu hoi kwa Bahima Empire!
 
Na maneno mazuri na kauli njeama asili yake ni Mwenyezi muumba kinyume chake maneno ya ovyo yenye kejeli na kuhukumu kama haya yanayotoka mdomoni mwako asili yake ni SHETANI ALIYE LAANIWA.
'AUDHUBILLAH MINA SHAITWAN RAJIIM'.
Hapo naona nzige tu. Hiyo h ni nyongeza tu. Mbwembwe. Baba wa nzige kapaniki!
 
Wengine hatukuona fumbo lolote pale. Tulielewa na kusonga mbele. Lakini akija mtu akasema hicho kilicho wazi ni fumbo hakika hakuelewa. Au ni mkuda tu. Kaelewa lakini anasema ni fumbo ili ... Jikumbushe mabandiko ya P. na makala za Economist. Eti hivi ni kweli na kama ni hivyo wazalendo tutanyamazaje? Mwenye mali kasikia kapotezea. Lakini mpambe kalivalia kengere. Si unajua tena wana nguvu. Mwenye mali anahamaki. Kumbe nililopotezea wameliona wengi. Na wako kinyume cha huyo bwege. Atanitambua. Kabendera akatundikwa. Nani amsimamishe kizimbani? Hayupo. Kama si ugali ni mboga atamwaga. DPP kachukua mamilioni ya dola.
Mama D kama umeelewa si uende kufua nguo za D kesho shule! Umbea mwingine? Genta dola hana. Anatembelea pasi ya kijani bila kujua kuna mpya haijapigwa chapa. Membe anajua sasa. Kaguswa kanukia! Insider kamtahadharisha Genta asikubali pm. Hapo sasa Genta ajisalimishe kwa majeshi ya PK na M7. Mhutu hoi kwa Bahima Empire!
Bangua D mkubwa anajifulia mwenyewe😅😅😅😅😅
 
Hata Diane Rwigira hakustahili kudhalilishwa na Kagame
 
Na siyo Kuishia 'Kuijua' tu. bali mwambie nimekulia pia 'Kimalezi' katika Nyumba za Kiserikali na Msasani chini ya 'Muasisi' Hayati Mwalimu Nyerere.
Hawa wengine wamelivamia jukwaa lkn pia hawajisumbui kuangalia historia za wana jf
 
Ben na Azory kwanza walikuwa na kosa gani la wao kutakiwa kusamehewa?
Moja alihoji tu zilipo nyaraka alizohitaji kuondoa dukuduku lake(kujiridhisha) zaidi kuhusu utata uliojitokeza(nyaraka zinazotakiwa kupatikana ambazo siyo za SIRI) na mwingine kutekeleza jukumu lake LA kuihabarisha,kuielimisha na kuiwezesha kupata ukweli wa kilichokuwa kinatokea(MKIRU) kuhusu maafa.Hawa Watanzania wenzetu hawakuwa wahalifu ila hawakusamehewa lakini wezi,wabadhirifu,walaRUSHWA wa awamu hii waweza kusamehewa endapo watamfurahisha Mzee Baba(Sheria/Kanuni za Uwajibikaji zimekosa kuzingatiwa).
Tudai Katiba ya Wananchi ili tufanye mabadiliko ya kiutawala/kiuongozi yenye Tija kwa wananchi nakuzuia Uharibifu wa Maadili uliokithiri.
 
Back
Top Bottom