Siyo tu Mkurugenzi wa Kahama, David Msumba alistahili msamaha, bali hata akina Ben Saanane na Azory Gwanda nao wangesamehewa tu

Kwa taarifa yako huyo ni kada kindaki ndaki, ukiona anayasema haya ujue hali ndani ya ccm ni tetekuwanga
huo sasa ni ujinga unawaza.

yaani hali tete imeanza mwaka huu au tokea 2015!!!
 
Alitaka tu Kujua ukweli wa 'Kitaaluma' hasa juu ya Andiko ( Thesis / Dissertation ) la Mzuia CORONA Mwandamizi Tanzania nzima na Mpenda Kwao.
Basi Ben Saanane hahitaji msamaha. Msamaha unatolewa kwa wakosefu. Yasemekana hiyo Thesis ya Maganda ya korosho imetolewa kwenye shelves za maktaba ya UDSM. Nahisi Chuo kinaona kinadhalilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…