binafsi nina view za aina mbili,But tusimu underrate slim dad
Mosi, anaweza kuijua tz kwa undani sana but nothing he can do about it. we're too big for him. anaweza kupata data lakini akashindwa kuzitumia kwa sababu intelligence system hubadilika time to time. sana sana, anaweza kuitumia tz kwa faida za nchi yake. kwa mfano, aliyesababisha Rwanda asiwe Congo hivi sasa ni tz. kuna mambo mengi nyuma ya kapeti yanaendelea, ingawa uswahiba wa pogba na slim dad hautakuwa na happy ending...(Mungu atupe maisha marefu na tuje kushuhudia).
Pili, Slim ana face constant threat kutoka kwa wahutu walioko Congo and in within Rwanda. Kabila akiondoka madarakani sijui itakuwaje. nachoona anajaribu ku-neutralize political tension iliyokuwepo zama za JK, but kwa manufaa yake Congo. ni strategist mzuri, but naona muda siyo tena rafiki kwake..