Jestkilla
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 2,999
- 3,960
freshiii!!kila la kheri mnyarwanda!!
Proudly Rwandese
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
freshiii!!kila la kheri mnyarwanda!!
haaahhaaaaa ahhaaaaaaaa....Proudly Rwandese
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Endeleeni kumwaga nondo wakuu ili nasie wakogea kopo tupate lolote la kubishania kwenye vijiwe vyetu vya bodaboda
[emoji7][emoji7]Do u mean Intergration of lnX is 1/x...????
Hata ungekuwa wewe ungemchukia anayekutishia ktk ustawi wako pia, Tz si kama tuijuavyo. Si wakenya na wanyarwanda tu, hata baadhi ya mataifa makongwe ya Ulaya yalishawahi na yanaendelea kutuchukia kwa misingi na misimamo yetu iliyo imara, cha kutufanya hawana walichobaki nacho ni chuki tu. Nawashangaa wenye kujibeza wenyewe. By nature mtz yeyote yule huzaliwa spy.afu mi najiuliza hivi kwa nini wakenya na wanyarwanda wanatuchukia sana sisi wabongo???afu ukiangalia wamejazana kinoma huku dar!!
Kajiulize sasa ni wakina nani walipatiwa uraia, na kwanini wengine walioishi miaka ya kutosha nchini kama raia waliondolewa ktk operation kimbunga.Kwanini Tanzania imejiondoa katika mkataba wa kuwahifadhi wakimbizi na hatimae kuwapatia uraia ???.
kuna watu mkuu hawataki kuamini hili lakini Mimi binafsi nimefanya utafiti nimegundua wakenya na wanyarwanda wanatuchukuia lakini moyoni wanatukubali flani hivi!!warundi wako freshii tu na waganda kwa mbaaali!!Hata ungekuwa wewe ungemchukia anayekutishia ktk ustawi wako pia, Tz si kama tuijuavyo. Si wakenya na wanyarwanda tu, hata baadhi ya mataifa makongwe ya Ulaya yalishawahi na yanaendelea kutuchukia kwa misingi na misimamo yetu iliyo imara, cha kutufanya hawana walichobaki nacho ni chuki tu. Nawashangaa wenye kujibeza wenyewe. By nature mtz yeyote yule huzaliwa spy.
Warwanda Tz wapo hata kabla hata hiyo Rwanda haijazaliwa, ni manamba tu mikongeni na ni jamii dhaifu kuliko zote. Pwani mtusi ama mhutu ni dalili ya mtu asiyetahiriwa, athaminiwi kabisa. Tembelea mashamba ya mikonge ukawaone nduguzo. Kwahiyo Unyarwanda si namna walivyo bali utaifa,,,, kwa namna walivyo tuko na makabila nchini kama waangaza nk ni watz. Tz ni nchi ya watu wenye mila na tamaduni nyingi, tunaishi pamoja na hilo ndilo strength yetu. Wengineo kalieni kuti kavu.Rwandese ni 1 ya jamii haijawaikua na shobo na mtu yeyote hasa mwafrica we live with our ego tafuta pa kupunguzia kuisoma namba kama wamejaa Dsm why dont u chase them to their home kama walivofanya south africa shame on u mtz.
Hata ungekuwa wewe ungemchukia anayekutishia ktk ustawi wako pia, Tz si kama tuijuavyo. Si wakenya na wanyarwanda tu, hata baadhi ya mataifa makongwe ya Ulaya yalishawahi na yanaendelea kutuchukia kwa misingi na misimamo yetu iliyo imara, cha kutufanya hawana walichobaki nacho ni chuki tu. Nawashangaa wenye kujibeza wenyewe. By nature mtz yeyote yule huzaliwa spy.
Warwanda Tz wapo hata kabla hata hiyo Rwanda haijazaliwa, ni manamba tu mikongeni na ni jamii dhaifu kuliko zote. Pwani mtusi ama mhutu ni dalili ya mtu asiyetahiriwa, athaminiwi kabisa. Tembelea mashamba ya mikonge ukawaone nduguzo. Kwahiyo Unyarwanda si namna walivyo bali utaifa,,,, kwa namna walivyo tuko na makabila nchini kama waangaza nk ni watz. Tz ni nchi ya watu wenye mila na tamaduni nyingi, tunaishi pamoja na hilo ndilo strength yetu. Wengineo kalieni kuti kavu.
Mauaji laba kuua nzi tumepita shida za hapa na pale il nyie wenye miaka 50 nchi haina hata shirika la ndege hata kuwapeleka hapo Uganda Nchi haina madawa nchi ina kila kitu ila raia wake n maskini rais anasema atakawa mil 50 kila kijiji halafu hakuna kituHivi unaposema mnyarwanda unamaanisha utaifa ama namna ya mtu alivyo, kama utusi nknk? Kama ni namna acha kabisa, Tz ni wakawaida sana, tena ni jamii ya chini, manamba na wala hawataki hata kujulikana kama wana asili ya nchi hiyo, hawataki hata kurudi huko, hakuna mtu azoeaye mauaji.
Hujui unalosema wewe, ndio mana wanywarwanda wakifika tz wanashangaa jinsi life lilivyo zuri, kigali is horible n terrible,kukaa hata masaa 24 ni kazi mno!nchi ngumu sana rwanda
ur speaking nonsense,ndugu zako wakikusikia unaongea huu upuuzi wanaweza kukuchapa,tz ni nchi nzuri sana,baada ya kufika hizi nchi za ukanda wa rwanda, burundi n uganda,personally nakili tz tumebarikiwa sana!hizi nchi zina matatizo sana,tuziombee kwakweli,and by the way tumuignore huyu binti jestkilla,Rwanda maisha yana utaratibu sio kama kweny mtu anatandila bizness kwenye barabara halafu et wamachinga hakuna Rwandese anakuja Tz anafshangaa labda anashangaa ule uchafu wa jangwan na tandale au posta watu kuuza vitumbua kwenye stend
ur speaking nonsense,ndugu zako wakikusikia unaongea huu upuuzi wanaweza kukuchapa,tz ni nchi nzuri sana,baada ya kufika hizi nchi za ukanda wa rwanda, burundi n uganda,personally nakili tz tumebarikiwa sana!hizi nchi zina matatizo sana,tuziombee kwakweli,and by the way tumuignore huyu binti jestkilla,
Nilikuwa nikidhani unajitambua kidogo labda, kwahiyo ile ya 94 mlipigana ili mjitoe ktk ukoloni mambo leo? Eti umasikini, kwahiyo Rwanda ni nchi tajiri kuipiku Tz? Hivi hata filamu ya mapanki au hata skendo yake hukuwahi kuisikia? Endelea kujifunza mengi yahusuyo Tz, hapa mtandaoni hutapata mengi, hata wengi hatujui nchi yetu kwanza, over. Hii ndio Tanzania. Leo inahojiana na wanyarwanda.Et mataifa ya ulaya uzuri Tz ccm inajua kuwaibia waswahili nchi ina miaka 50 ila n maskini halafu unaskia ina madin ina mito maziwa ina gesi tz wazungu wanakuja kuwaibia kirahisi sana na ndio nchi inaibiwa kirahisi sna kisa ccm inawaibia watz weng nchi zilizopigana vita zilikataa upuuzi uliopo tz ndo mana zikapigana sababu watu wanajitambua juz rais wenu kasema et Acacia wanawaibia hii leo acacia wanachimba madin kishika uchuma bilion 300 zimeota mbawa makinikia yanaenda nje achana na Zile gold bars halafu et kila mtz akizaliwa ni SPY labda ana spy umbea wa Le mutuz na Mange
Baada ya kauli yake hiyo na alichofundishwa, ukimwambia arudie tena hiyo kauli ataiongea?Kagame ashawambia kua Nyie n wapumbavu mna bandari lakin shule iko karibu na ikulu haina madawati
Jibu kwanza, kwa kigezo chochote kile ukipendacho kukitumia, Je Rwanda ni tajiri kuzidi Tanzania? Acha stori za mtaani, nenda kisomi.Mauaji laba kuua nzi tumepita shida za hapa na pale il nyie wenye miaka 50 nchi haina hata shirika la ndege hata kuwapeleka hapo Uganda Nchi haina madawa nchi ina kila kitu ila raia wake n maskini rais anasema atakawa mil 50 kila kijiji halafu hakuna kitu
Umeishiwa hoja sasa, by nature ktk nyanja zote Tz huzungumza na Kenya East Africa, sema ni kwakuwa nawe ujiitaye mnyarwanda upo humu na unazungumza kiswahili cha Tandale, na una bidii ktk kupost, ndo unaipaisha nchi yako. Ila Kiukweli, sisi ni saizi ya Kenya hata baba wenu Uganda hawezi leta ujinga. East and central Africa ni Kenya tu, ndo sijawahi sikia kama Tz ilishawahi mweka mtu wake ktk cheo kikubwa kabisa ktk nchi, urais.Tatizo la umeme elimu bora Afya utekaji wa wasiojulikana mshamaliza nyie ndio mna matatizo mengi na mna kila kitu et Mwanza au kahama haina maji na kuna ziwa Songea iko ziwani haina maji Dsm umeme ni tatizo halafu mtu mwenyewe unajiita “NIGGA” akili zao nyeusi ka Mkaa wa Songea.