Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!

Unazidi kudhihirisha uwezo wako mdogo ktk espionage issues.
Israel ina mahusiano makubwa ya kidiplomasia na Rwanda, Tanzania haina mahusiano mazuri na Israel ,na majuzi tu ilidhihirika UN.
kwa hiyo spies wa Rwanda hupelekwa Israel na kupewa mafunzo na trainers wa MOSSAD, yote haya hufanyika kwa maslahi mapana ya Israel.
Israel kwa miaka ya hivi Karibuni imekuwa ikiidukua Tanzania kijasusi kupitia Rwanda,zamani waliitumia Kenya.
Usidhani watu tunakurupuka tu kuandika thread, tunajua mengi ya uvunguni.
Yupo wapi yule kanali wa JWTZ mtaalamu wa IT aliyetoweka ghafla wakati wa utawala wa Kikwete?
Rwanda ilijuaje kuwa Balozi aliyekuwa anapelekwa Kigali kuiwakilisha Tanzania alikuwa ni jasusi wa TISS?
Unajua who is behind Mtikila's mystery death? And why?
Unajua ni nani ameifanya Congo isiwe stable Hadi leo and why?
Tanzania ilikuwa vizuri Sana kijasusi lakini sasa hivi hamna kitu, kuendekeza siasa kwenye kila jambo ndo kunaenda kuligharimu taifa letu.
Wewe ukikurupuka Sana kumu under rate Mr slim.
Halafu kukurupuka kwako unataka kuona Uko sawa.
Museveni keshamshtukia ndo maana alikuwa anapanga kumfanyia assassination, Gazeti la Reddpepper lilipofichua likafungiwa.
Huyu wa kwetu ndo anamwona best, hakuna urafiki Kati ya binadamu na nyoka.

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Hahah Museveni hana uwezo wa kumu assasinate PK nina uhakika huo,PK akitaka hata kesho kumfurusha Museveni ana uwezo huo kabisaa.Yani m7 acheze na Former CMI wake haiwezekani hio.

Au hukumbuki Uganda alivyopewa kichapo pale Rwanda na Congo walipogeukana kule Congo kipindi kile wanagombea madini na wkt huo Rwanda ilikua hata haijasimama kijeshi kiviile ndo ilikua imetoka kwenye Genocide nadhani.

Ambacho hukielewi khs kinachoendelea Uganda ni kwamba Nyamwasa yule Mkuu wa majeshi wa zamani aliyekimbilia S/Africa alianza movement za kuchukua wanyalu wanaoishi Uganda kwny makambi ya wakimbizi na kuwapeleka Congo kuwatrain so tension ikaanzia hapo Kati ya Kigali na Kampala na kama huna taarifa hata kuna bus lilikamatwa hapahapa Bongo likitoka Uganda likisafirisha hao wanyalu ili wavuke kwenda Congo lkn walikamatwa wakarudishwa Uganda na kuna mashitaka mahakamani dhidi ya hao wanyalu huko Uganda.

Kwa E/Africa naamini kwa dhati mbabe wa PK ni Tz tu hao wengine hawafurukuti hata Kenya hamna kitu,Uganda,Burundi,Congo hio haihitaji maelezo mengi panaeleweka vzr tu,South sudani wao ndo hata hawakoromi kwa jamaa maana wale m23 walipelekwa na PK kumsaidia rais wao Salva kiir dhidi ya Muasi Machari so wanaijua in&out.
 
Umeishiwa hoja sasa, by nature ktk nyanja zote Tz huzungumza na Kenya East Africa, sema ni kwakuwa nawe ujiitaye mnyarwanda upo humu na unazungumza kiswahili cha Tandale, na una bidii ktk kupost, ndo unaipaisha nchi yako. Ila Kiukweli, sisi ni saizi ya Kenya hata baba wenu Uganda hawezi leta ujinga. East and central Africa ni Kenya tu, ndo sijawahi sikia kama Tz ilishawahi mweka mtu wake ktk cheo kikubwa kabisa ktk nchi, urais.

Mbona kila siku nyuzi za Rwanda hum mnawashwaaa..???
 
Jibu kwanza, kwa kigezo chochote kile ukipendacho kukitumia, Je Rwanda ni tajiri kuzidi Tanzania? Acha stori za mtaani, nenda kisomi.

Huo utajiri mlio nao mbona hauwapi faida nchi imejaaa maskini karibia robo 3 ya raia n maskin wa kutupwa ufisadi tele.
 
Kagame ashawambia kua Nyie n wapumbavu mna bandari lakin shule iko karibu na ikulu haina madawati
kagame alikuwa anamzingua mkwere,ndo maana mkwere aliamua kumjambisha akawa analala macho anakimbia kimbia kama digidigi!!hata hivyo kagame mtoto mdogo sana hasumbui sema ashukuru sizonje ni swahiba wake!!nisije kusahau Jana ulinitukana eeeh
"paka mdogo mwenyewe"...ahaaaaaa
 
Mkuu, Mr. slim tunamjua vizuri sana. Useme tu the guy is lucky. kuna kipindi alipona assassination baada ya kutanguliza motorcade ambayo yeye hakuwemo. For your information, kwenye huo msafara-No one is alive today..kwa sababu wote waliangamia...
Ufafanuzi please mkuu unatuacha stand ujue
 
inasemekana idadi ya Wanyarwanda imeongezeka maradufu. Pia kwenye mashirika ya Umma wamekuwa wengi zaidi wengine hata Kiswahili hawajui vizuri. Hii hali inatisha. Hata kama tuko macho tutakuja kuzidiwa na kushtukia washajisimika. Mko wapi wenye jukumu la usalama wa Taifa letu? mnayatazama tu haya na kuishia kunyamaza? Mnashindwa haga kushauri kuwa kuagiza wataalamu wa IT kutoka nchi jirani ni hatari kiusalama? Mnaacha mpaka mkuu anayatamka hadharani.

Mkumbuke hata KGB iliwahi kuwa bora katika medani za ujasusi lakini walishindwa kuzuia kuanguka kwa USSR. Matokeo yake leo wamebaki kung'ang'ania sehemu ndogo kama Crimea

Majuto ni mjukuu. Watakuja kutulaumu vizazi vijavyo kwa kuwa watamazaji huku taifa letu likipokwa. Kuna cha zaidi ya Taifa kupiganiwa? nini kikubwa kuliko Taifa?
 
Hahah Museveni hana uwezo wa kumu assasinate PK nina uhakika huo,PK akitaka hata kesho kumfurusha Museveni ana uwezo huo kabisaa.Yani m7 acheze na Former CMI wake haiwezekani hio.

Au hukumbuki Uganda alivyopewa kichapo pale Rwanda na Congo walipogeukana kule Congo kipindi kile wanagombea madini na wkt huo Rwanda ilikua hata haijasimama kijeshi kiviile ndo ilikua imetoka kwenye Genocide nadhani.

Ambacho hukielewi khs kinachoendelea Uganda ni kwamba Nyamwasa yule Mkuu wa majeshi wa zamani aliyekimbilia S/Africa alianza movement za kuchukua wanyalu wanaoishi Uganda kwny makambi ya wakimbizi na kuwapeleka Congo kuwatrain so tension ikaanzia hapo Kati ya Kigali na Kampala na kama huna taarifa hata kuna bus lilikamatwa hapahapa Bongo likitoka Uganda likisafirisha hao wanyalu ili wavuke kwenda Congo lkn walikamatwa wakarudishwa Uganda na kuna mashitaka mahakamani dhidi ya hao wanyalu huko Uganda.

Kwa E/Africa naamini kwa dhati mbabe wa PK ni Tz tu hao wengine hawafurukuti hata Kenya hamna kitu,Uganda,Burundi,Congo hio haihitaji maelezo mengi panaeleweka vzr tu,South sudani wao ndo hata hawakoromi kwa jamaa maana wale m23 walipelekwa na PK kumsaidia rais wao Salva kiir dhidi ya Muasi Machari so wanaijua in&out.
mkuu asante kwa comment yako. FYI, kagame hajawahi kushinda clean fight yoyote. yeye anajua kuvizia tu. PK is a coward. Ugandan troops were ambushed, na walikuwa na limited chance ya kujitetea. kama ilivyokuwa kwa walinda AMANI wa tz hivi recently. sijui unaishi wapi, lakini M7 anaua spies kutoka Rwanda on daily basis. PK hamuwezi M7 on every aspect. Point to note; M7 anaiheshimu RWANDA kwa kuwa ndo chimbuko lake, period.
 
inasemekana idadi ya Wanyarwanda imeongezeka maradufu. Pia kwenye mashirika ya Umma wamekuwa wengi zaidi wengine hata Kiswahili hawajui vizuri. Hii hali inatisha. Hata kama tuko macho tutakuja kuzidiwa na kushtukia washajisimika. Mko wapi wenye jukumiu a usalama wa Taifa letu? mnayatazama tu haya na kuishia kunyamaza? Mnashindwa kushauri kuwa kuagiza wataalamu wa IT kutoka nchi jirani ni hatari kiusalama?

Mkumbuke hata KGB iliwahi kuwa bora katika medani za ujasusi lakini walishindwa kuzuia kuanguka kwa USSR. Matokeo yake leo wamebaki kung'ang'ania sehemu ndogo kama Crimea

Majuto ni mjukuu. Watakuja kutulaumu vizazi vijavyo kwa kuwa watamazaji huku taifa letu likipokwa. Kuna cha zaidi ya Taifa kupiganiwa? nini kikubwa kuliko Taifa?
Maneno yako yameingia mpaka kwenye mifupa yangu mkuu tena ulipotoa mfano wa USSR kuanguka kwake pamoja na uimara wa shirika lao la ujasusi KGB
 
Kimsingi Rwanda hapa Tz kwetu tweweza ifananisha na wilaya ya Handeni in every aspect, juzi kati jamaa yangu alienda Rwanda alikaa zaidi ya miezi sita, mawasiliano nope, hamna kabisa, one day alipopatikana kwa cm akaniambia kuna shida ya network maeneo ya vijijini alipokua, cha ajabu ka nchi kadogo kama Handeni still hakajawa covered na mtandao mzuri wa cm, hii habari ya kujikita kigali na kuacha maeneo mengine ovyo ni sawa na mwanamke kupaka mgorogo usoni tu ili hali haogi, bado saana.
 
Kwa kipi ilichonacho Tz,Kaazi kweli kweli Huu ni uzi wa 10 kama sikosei mwaka huu ni ishu za Kagame kagame na Rwanda yake nadhani watz wamefika mwisho wa kufikiri
Mkuu wasiwasi ndio unaolea mwana..
Kama baadhi ya Watanzania wameanza kupata hisia za namna hiyo na vimaneno vimeanza kuzagaa basi sio busara kupuuza wanachosema.
Sifahamu chochote kuhusu masuala haya ya upelelezi ila "kila neno linapaswa kuzingatiwa kwa amani ya Taifa letu"
 
mkuu asante kwa comment yako. FYI, kagame hajawahi kushinda clean fight yoyote. yeye anajua kuvizia tu. PK is a coward. Ugandan troops were ambushed, na walikuwa na limited chance ya kujitetea. kama ilivyokuwa kwa walinda AMANI wa tz hivi recently. sijui unaishi wapi, lakini M7 anaua spies kutoka Rwanda on daily basis. PK hamuwezi M7 on every aspect. Point to note; M7 anaiheshimu RWANDA kwa kuwa ndo chimbuko lake, period.
unaijua First&Second Congo War?

Wababe wa Africa kivita Angola&Zimbabwe kwenye hio 2nd congo war walipewa shughuli na huyo jamaa mpk ikataka kuleta proxy war,hapo alikua nani amemvizia nani?

Unaijua OPERATION TURQUOISE mwaka 1994 huko Rwanda na kilichowakuta Wafaransa,je alimvizia nani?

Hahah afu Mkuu bana unaamini kabisaa Burundi anaweza akapigana wkt salama yake ni Kubebwa na Tz,hivi wkt Nkurunzinza wanataka kumpindua ni nani alienda kuhakikisha anabaki Madarakani?Si ni Tz au nani?Burundi size yake ni vile visiwa vya Comorro labda.

Kwa M7 sina hata cha kusema yaani unaamini kabisa M7 anaweza akazingua kwa FORMER CMI wake anayemjua yeye na nchi yake nje ndani.Hao ma spy wananyongwa hapo Uganda kupitia story kijarida cha Red Pepper tu,hahah

Hao wanyalu wanaokamatwa Uganda unajua sababu ni nini?Na unajua kuna bus jingine lilikamatwa hapa bongo lina wanyalu full wanapelekwa Kongo?

Afu khs kuvizia kwenye vita mi mtizamo wangu najua ndio maana ya hizo MILITARY INTELLIGENCE kufanyika. Kama mnaweza kuspot weak Point na kutoa kichapo ni nini Mbaya?

Mbabe wa PK ni Tz only,hao wengine ni midebwedo tu kwa sasa.
 
Mmeanza kupimana nguvu kwa maneno et mbabe flan na flan kweli watz akili ndogo sana.
 
Mkuu wasiwasi ndio unaolea mwana..
Kama baadhi ya Watanzania wameanza kupata hisia za namna hiyo na vimaneno vimeanza kuzagaa basi sio busara kupuuza wanachosema.
Sifahamu chochote kuhusu masuala haya ya upelelezi ila "kila neno linapaswa kuzingatiwa kwa amani ya Taifa letu"

Hamna lolote watz mshazoea umbea umbea tu
 
Kimsingi Rwanda hapa Tz kwetu tweweza ifananisha na wilaya ya Handeni in every aspect, juzi kati jamaa yangu alienda Rwanda alikaa zaidi ya miezi sita, mawasiliano nope, hamna kabisa, one day alipopatikana kwa cm akaniambia kuna shida ya network maeneo ya vijijini alipokua, cha ajabu ka nchi kadogo kama Handeni still hakajawa covered na mtandao mzuri wa cm, hii habari ya kujikita kigali na kuacha maeneo mengine ovyo ni sawa na mwanamke kupaka mgorogo usoni tu ili hali haogi, bado saana.

Rafiki yako hakua Rwanda huyo anakudanganya either unamdai au mna biashara fulana mnafanya anataka kukutapeli,Rwanda kuanzia umeme maji network za barabara simu zipo kila mahali,Hyo Tanzania yenu mmeshindwa kujenga Flyover mji mkubwa kama Dar es salaam halaf kale kanajengwa Tazara et flyovver ccm imewafanya mazezeta sana nchi kama Tz yenye rasilimali tele et umeme ni tatizo mwaka 2018 shule hazina vyoo Maji ni tatizo pale Kahama na ipo karibu na Lake victoria nchi ina gesi lakin mtung wa gesi ghali kuliko mkaa.
 
Back
Top Bottom