Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!

Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!

Fastest and coverage are two different things, wanaweza kuwa ns speed ila wako chigali na vimji vingine, vijijini nope, kaputi.
Wewe uliopo Dar ushakutana na speed yoyote kati ya hizo mb 1 mpaka uvizie voda usiku wa manane ndio uipate tena sio constant itapanda mara moja na kuchuka kwenye kb
 
Kongo ina kila kitu ila maskini wa Kutupa na ukubwa ule kwi kwi kwi nyie nchi yenu pa1 na population kila mkoa una rasilimali za kutosha ila maji ya kunywa pale Mkoa wa shinyanga tabu na Kigoma pia tabu tupu huko songea watu wanalkunnywa maji na ngombe iringa kuna mbao ila madawati hakuna Tz kweli mazezeta mko wengi sana shame on you
Umeielewa hiyo post uliyoikoti lakini? Ni sawa na ile sera ya vijiji ya mwaka 1974, kuwakusanya watu pamoja ili wote wapate huduma. Ninyi kwenu mko kwenye eneo dogo sana, ni rahisi kutoa huduma. Gharama ya kujenga km moja ya lami haitofautiani sana kati ya Rwanda na Tz, kwahiyo unapopima kiwango cha huduma jua kwamba ili Tanzania iwafikie wananchi wote, ni inshu kubwa tofauti na Rwanda.
 
Tz mna rasilimali kila mahala acha kutafuta kichaka hii leo mwanza ina ziwa lakin maji ya kunywa ishu nenda kakune nazi huna jipya.Tz mmefeli sana.
 
Mr Slim mashushu wake mpaka kesho wanapewa training hapa Tized eti tumekuwa uchi [emoji23][emoji23][emoji23].
 
Mr. Slim is dangerous to others but not Tanzania kinyago ulichokichonga hakiwezi kukutishia
 
in now days tuna uhasama wa taifa vimeo badala ya kulinda maslahi ya nchi wao wamegeuka watesi wa wapizani
 
Acheni mawazo mgando watz!
Nawahakikishia vita yoyote itakayopiganwa pande zote zitaumia sana. Hakuna cha eti tz ni wababe kivita wala nini, mm nawaambia mkitaka iteni mechi ya kirafiki kati yetu na kenya au rwanda. Yani tutaadhibiwa vibaya sana...

Wanaume hapa East Africa ni Kenya na Rwanda tuu mtake msitake! Uchumi wao upo juu, pesa yao ina thamani zaidi ya kwetu ya kila kitu kipo developed huwezi compare na tz. Mambo yao ni ya kisasa kila kitu, Ukitaka mambo mazuri nenda Kenya...

Wenzetu walitoka vitani pamoja na kuwa na migogoro ya hapa na pale leo tz tukiikumbuka vita kagera tunajilaumu kinyama, so pamoja na amani yote hii kuna lipi la maana limefanyika? Vipi tungepiga vita kadhaa kama hayo mataifa?

Tz ina ardhi yenye rutuba, vyanzo vingi vya maji, maziwa, madini, tourist center, bahari etc yani resource za kumwaga na wingi wa watu lakini wapi daily siasa zenu uchwana, unafiki na umbea hiko ndicho mnacho kiweza.

Wazee wa kazi yani Kenya na Rwanda wao hawanaga maneno mengi wao ni wazee wa kazi mnaweza kutembelea hizo nchi mjionee.

Wajinga wachache watasema eti tumetawaliwa kwani kenya hawajatawalia na hao waningereza? Rwandese katawaliwa na mbeligigi na mfaransa, PK kaona mfaransa anamsumbua kama mnavyomfahamu akaona huo uchafu usimsumbue kapiga chini lugha ya kifaransa, kaiweka english na kufutilia mbali ushawishi wa ufaransa nyinyi unafiki flani unawasumbua miongo kadhaa.

Hizo nchi tulizo zisaidia zikapata uhuru leo hii zimetupita kimaendelea! Kwa nini? amani tuliyo nayo imetufikisha wapi? Acheni utaira watanzania...
Hili taifa ni wazembe, wenye fikra chanya hawapewi nafsi yale mambumbumbu ndio yanaewa mamlaka.

Ndio maana PK aliwahi sema akipewa tuu bandari ya Dar es salaam ataibadilisha tz ndio hapo ile bifu ikatokea.
Real tujitafakari sasa tuache mawazo mgando. Tuache maneno tupige kazi kama wenzetu!

Nimegundua watanzania ni waoga sana, Woga ni mbaya mno! Wananchi wengi hawana udhubutu badala yake nguvu nyingi inaishia kwenye maneno! mkitaka maendeleo mfanye practice kabisa... ingieni field mpractice sio kujifariji kwa meneno.
 
Lengo langu ni kumjibu chipa GM na kumfafanulia kidogo kuhusu uzi wake aliodai ni Utoto mtandaoni.

Kwanza nataka ujue kuwa, lisemwalo lipo, Kama halipo linakuja.
Wewe humjui vizuri Mr slim,unachukulia udogo wa nchi yake ndo unamdharau, hapo umeonyesha kuwa una upeo mdogo Sana wa kuchambua mambo ya kiintelijensia.

Kama udogo wa nchi ingekuwa ni sababu ya nchi pia kuwa dhaifu basi Israel ingekuwa mikononi mwa waarabu leo hii.

Nataka nikuambie ndugu yangu, Sisi hadi sasa tupo uchi kabisa mbele ya Mr Slim.

Labda tu hujui kuwa Mr slim anapigwa tafu na shirika hatari la kijasusi duniani "MOSSAD ".mziki wa MOSSAD hata CIA wanapiga magoti.

Lengo la Mr slim ni kuweka vibaraka wake lake zone ,si umeshamsikia yule anayepiga kelele ya miaka saba? Unadhani kajituma? Yule katumwa.

Kwa taarifa yako, Mr slim ana ma spies wa kike zaidi ya 200 wapo ndani ya nchi yetu ,ni warembo wa haja, na wapo sekta mbalimbali wakifanya kazi waliyotumwa.

Unajua ni kwa nini intelligence yetu imeshuka ubora? Ni baada ya kundi flani kuanza kukandamiza kundi flani.

Sasa hapo unatakiwa ujue kuwa, baadhi ya spies wetu wapo ktk lile kundi linalokandamizwa na huwezi kuwajua wala kuwahisi.

Narudia tena kukuambia, mdharau mwiba mguu hufanyeje?

Usimchukulie poa Mr slim ndo maana wanaompinga anawafuata hadi nje ya nchi na kuwaua.

Who trains his spies? Ni MOSSAD hao.

Kama hatutachukua hatua za makusudi Mr slim anaweza kutufanya kitu mbaya sana, that's why mzee wa diplomasia na demokrasia alitaka kumtoa nduki Mr Slim.

HABARI,
"My Son drink water,

Zaidi ya 2000

LUMUMBA
 
Tatizo la umeme elimu bora Afya utekaji wa wasiojulikana mshamaliza nyie ndio mna matatizo mengi na mna kila kitu et Mwanza au kahama haina maji na kuna ziwa Songea iko ziwani haina maji Dsm umeme ni tatizo halafu mtu mwenyewe unajiita “NIGGA” akili zao nyeusi ka Mkaa wa Songea.
hahahaaaaa eti mweus kama mkaa wa songea kwahy sehem nyngne unakuw rangi gan ila umenifanya nifurah
 
Unajua tofauti zilizopo kati ya Rwanda na Tz, kijiigrafia, kisiasa na kiuchumi na hata kijamii? Unajua nchi ipi ni kubwa kieneo na ipi ina population kubwa zaidi ya nyingine ki density population? Ukiyajua hayo Utajua, Tz inatakiwa ijenge zahanati ngapi kukidhi watu wake na Rwanda ngapi? Mtandao wa lami ukidhi how many kms, reli na simu pia. Mtandao na huduma za mikoa mitano nitakayokutajia tu Rwanda itapitwa vibaya, Dar kwakuwa Kigali ipo, Klm, Mby, Mwanza na Arusha, ktk hapo tu kila kitu kuaanzia GDP nk Rwanda chali.

Hiyo mikoa minne yenye watu idadi inayokaribiana na Rwanda, au let's say, kila kitu kilichopo Tz kiwepo ktk mkoa mikoa ya Morogoro na Iringa Hadi idadi ya watu hiyo nchi ingekuwaje?

Kila kitu kina faida na hasara zake pia, inawezekana urefu wa barabara moja tu ya Tz ndo mtandao wote wa barabara Rwanda.
Watu wanakirupuka tuu, hawajengi hoja kama binadamu waitwao CDM
 
Nawashukuru wa nyarwanda wanawanawakebwazuri sana tunaponea hapo
 
HABARI,
"My Son drink water,

Zaidi ya 2000

LUMUMBA

Mmeanza kupimana nguvu kwa maneno et mbabe flan na flan kweli watz akili ndogo sana.
Hivi huyu jamaa huyu Jestkilla kwa nini muda mwingi namuona anamtetea saaaana Mr. Slim!! Tena anatetea saana. Eti Mr. Slim hana mpango na Tz. Nimwambie hakuna nchi itakuwa kimya na kumuamini jirani yake kihiivyo. Kazi kubwa kwa vijana wa usalama nchi zote huifanya wakati wa amani.
Mimi siwaamini wooote wenye asili ya kinyaruanda. Waankole na M7 wao, Wanyamulenge, JK wa Congo, hata hawa wanyamulenge waliopo humu Tz tusiwaamini hata kidogo. Wapo wengi, wamezaliwa hapa, wamesoma hapa, mpaka wengine walienda nje wakiwa na passport za Tz, waliajiliwa nafasi nyeti Tz hadi BoT na jeshini; lakini Mr. Slim alipochukua nchi wengi (nawafahamu baadhi kwa majina) waliukana uTz wakaenda kwao. JK wa Congo hana lolote, kwa kuwa ana vinasaba na kule kwa Slim, anachofanya Eastern Congo ni kutaka kuimega North/South Kivu iende kwa Mr. Slim. Long term plan; North Western Tz na Western kwa M7 pia iwe sehemu ya Bahima Empire ya Mr. Slim. This is their long term plan. JK wa Tz alistuka mapema ndiyo sababu Mr. Slim hakumtaka kabisa JK wa Tz; lakini sasa na huu urafiki wa mashaka unaoendelea, mmmh sijui. The Bahima empire is in the making.
 
Dunia ya sasa ilipofikia hakuna ujanja ujanja tena et uende vitani kwa miguu na magari na ukijua utashinda tu, zama izo ziliisha miaka ya 90, ukweli ni lazima usemwe hata iweje hata kama ni kuonekana usaliti kwa watu ukweli lazima usemwe, ccm imetuharibia nchi sanaa, tuna jeshi dhaifu sanaa sio kiteknolojia sio kwa dhana vita za kisasa, utasema vp wewe una jeshi imara wakati bajeti ya jeshi lako kwa mwaka ni kituko? Hahahaha tuache ujinga tuangalie ukweli na ukweli utaisaidia hata serikali yetu hii isio sikivu, kaangalie hapa Africa mashariki tu utaona kenya kalizidi mbaalii sanaa jeshi letu kwa kila kitu, lakin humu watu wanasema et hata kenya hawawezi warwanda alaf watu hao hao wanasema ni Tanzania tu anamshinda mrwanda hahahahahaha, wazee dunia ilipofikia sasa hamuwezi kuamini, na ukubwa wa nchi wala sio kigezo kabisaa embu iangalie israel pale ilipo? Ni karibu waarabu wote wanatala kuifutilia mbali ila kiko wapi? Mtu dhaifu hua ana kawaida ya kujitambua haraka na kudeal na madhaifu yake ipasavyo na anakua anaji hami sanaa ni ngumu kumshinda na ata ukimshinda sio kirahisi kama unavyo dhani, hivi unategemea Paka alivyo na maadui kote chungu mzima hajui namna ya kujihami? Nchi ngapi hazimpendi? Watu wangapi wanamwinda? na hata kabila akiondoka hakutatokea kitu, Paka aliuua hadi kabila mkubwa na ambae aliwai kutangaza bifu hadharan kabisaa na kutimua banyamulenge.

Nimechekeshwa na mdau mmoja humu anasema et M7 akiweza anamuua Paka ata kesho hahahaha wewe penda kujisomea na uijue historia vizuri, M7 yupo hapo alipo sababu ya Paka, yaani tukubali au tukatae Paka is fukin Genius, na hata alivyomtisha JK wakati ule alikua anajua nini anafanya, na kamwe et tusiseme Paka tulimtwanga Congo na m23 yake wakati yeye hakua vitani official ila wale ni wahuni wake tu aliokua kawatuma, ni sehemu tu ya nguvu zake, je angetumia nguvu zake zote?Paka mie namuheshimu nimesoma vitabu vingi vinavyomuhusu na niligundua sio binadamu wa kawaida kabisa.

Imagine Paka aliichukua nchi akiwa na tuwanajeshi kama idadi tu ya wanafunzi wa shule ya benjamin mkapa, na tena ktk vita dhidi ya mamilion ya wahutu na kwa msaada wa jeshi la ufaransa juu ila paka akashinda, sasa na hapo ni miaka ya 90, je kadevelop kiasi gani na tunajua Paka anawindwa huku na kule na vile vile anajitanua huku akitaka kuwepo madarakani muda mrefu zaidi while ni mafia pia, ni wazi Paka atakua ana project nyingi sanaa za chini ya kapeti za kua na silaha za kila namna, huku pia akiwa na uwekezaji mkubwa wa kijeshi, kamwe Tanzania haiwezi kua threats kwake hata kenya pia, kwake kitisho ni Congo kutumika kama daraja la yeye kupigwa collabo na maadui zake wote, na hasa ukiangalia sehemu kubwa ya ardhi yake imezungukwa na Congo.

Ni ukweli ulio wazi tu na kwa namna hali ilivyo dhana za kizamani, ueledi mdogo wa wanajeshi wetu, intelijensia yake na namna ya wanajeshi wake Tanzania labda inaweza kumpiga Burundi tu hapa Africa mashariki, watu wengi hawapo vile tunavyowazania kua wapo, bajeti yetu ya mwaka kwa jeshi inasema vyote, project zote za jeshi letu zinaonesha mustakabali wetu, ndio maana sikushangaa et msemaji wa jeshi ni kada wa ccm hahahahaha, siasa siasa hizi zinatuharibia jeshi letu, na uenda sisi ni wazuri ktk ground battle ila je dhama hizi kuna vita hivi vya ardhini kiwepesi tu?

Tuwe serius jama, dhama zimepita, hata Paka hakua mjinga alipomwambia anamsubiria JK ajichanganye ampige on point, je alijiamini vp? Na tujiulize Paka yeye ni nani hasa mbona ana kibuli sanaa? Na mie nakumbuka Nicholaus Sarkozy rais wa ufaransa huyu alivyotoka Paris kwenda kigali kumuomba Paka msamaha, dunia nzima ilijiuliza Paka ana nguvu gani? Au pale mkuu wake wa majeshi alivyozuiwa Uingereza na Paka alivyomaind ndo uingereza ikamuachia na kuomba msamaha japo mahakama yake ilidai kua na ushaidi wa kumtia hatiani uyo kibaraka wa Paka.

Ukweli utasemwa tu hata iweje, na hauwezi kua adui kwa kusema ukweli.
 
Acheni mawazo mgando watz!
Nawahakikishia vita yoyote itakayopiganwa pande zote zitaumia sana. Hakuna cha eti tz ni wababe kivita wala nini, mm nawaambia mkitaka iteni mechi ya kirafiki kati yetu na kenya au rwanda. Yani tutaadhibiwa vibaya sana...

Wanaume hapa East Africa ni Kenya na Rwanda tuu mtake msitake! Uchumi wao upo juu, pesa yao ina thamani zaidi ya kwetu ya kila kitu kipo developed huwezi compare na tz. Mambo yao ni ya kisasa kila kitu, Ukitaka mambo mazuri nenda Kenya...

Wenzetu walitoka vitani pamoja na kuwa na migogoro ya hapa na pale leo tz tukiikumbuka vita kagera tunajilaumu kinyama, so pamoja na amani yote hii kuna lipi la maana limefanyika? Vipi tungepiga vita kadhaa kama hayo mataifa?

Tz ina ardhi yenye rutuba, vyanzo vingi vya maji, maziwa, madini, tourist center, bahari etc yani resource za kumwaga na wingi wa watu lakini wapi daily siasa zenu uchwana, unafiki na umbea hiko ndicho mnacho kiweza.

Wazee wa kazi yani Kenya na Rwanda wao hawanaga maneno mengi wao ni wazee wa kazi mnaweza kutembelea hizo nchi mjionee.

Wajinga wachache watasema eti tumetawaliwa kwani kenya hawajatawalia na hao waningereza? Rwandese katawaliwa na mbeligigi na mfaransa, PK kaona mfaransa anamsumbua kama mnavyomfahamu akaona huo uchafu usimsumbue kapiga chini lugha ya kifaransa, kaiweka english na kufutilia mbali ushawishi wa ufaransa nyinyi unafiki flani unawasumbua miongo kadhaa.

Hizo nchi tulizo zisaidia zikapata uhuru leo hii zimetupita kimaendelea! Kwa nini? amani tuliyo nayo imetufikisha wapi? Acheni utaira watanzania...
Hili taifa ni wazembe, wenye fikra chanya hawapewi nafsi yale mambumbumbu ndio yanaewa mamlaka.

Ndio maana PK aliwahi sema akipewa tuu bandari ya Dar es salaam ataibadilisha tz ndio hapo ile bifu ikatokea.
Real tujitafakari sasa tuache mawazo mgando. Tuache maneno tupige kazi kama wenzetu!

Nimegundua watanzania ni waoga sana, Woga ni mbaya mno! Wananchi wengi hawana udhubutu badala yake nguvu nyingi inaishia kwenye maneno! mkitaka maendeleo mfanye practice kabisa... ingieni field mpractice sio kujifariji kwa meneno.
Na wewe eti umeandika
 
we jamaa ni mkenya...!!huwa mnaitamani sana tz ila ndo basi tu mfanyeje.!!mtuache na bongo yetu sawa??
 
Huyo slim mna muoverrate sn afanye ujinga wake wote lkn siku akileta chokochoko zake ndani ya tz anapotea asubuhi tu, na hao wa Israel mnaodai wana mback up watakuwa watazaji tu.
 
Back
Top Bottom