Hawanaga utamaduni wa kugawa rushwa kwa wapiga kura ili wachaguliwe.Wachadema wanagawa nini?
Assumpta kaacha UDC then anaenda kubet misenyi , ....naomba wananchi kuleni hela kura ni siri ya mtu.
Karudi yani mavarangati ya milungula ndo habar ya mjini
kuna mmoja anajiita doctor Mazima yani ukimwona maono yake juu ya uongozi na alivyoanza kugawa fedha unashangaa kama aina ya viongozi wajao ndo hawa basi nchi yetu itachkua muda kupga hatuaKiukweli hii michezo ya jimbo la nkenge hasa kwa hao ambao kila awamu wapo kwenye kinyanganyilo ni ujinga wa hali ya juu kuwapotosha wananchi kwa kuwadanganya na elfu kumi kumi ni ujingaa mkubwaa
Kyombo ,Assumpta ,kamala msimu huu wajiweke pembeni
Kesi ya paka una mpelekea panya?Takukuru njooni maeneo ya Kitobo, Buyango na Bwanjai maana itafikia hatua tutakosa mgombea mzuri na hapo ndo itakuwa mwanzo wa kulipoteza jimbo.
Wewe daktari wa binadamu mwenye Elimu ya AMO na wewe balozi Uliyekuwa mbunge msimu ulioisha pia na wewe sijui uliyekuwa mkuu wa Wilaya ya kibaha punguzeni hiyo michezo la sivyo mtakipaka chama chetu matope bila sababu
Na hao mbona kama ni wa kila awamu wamoooo ?kuna mmoja anajiita doctor Mazima yani ukimwona maono yake juu ya uongozi na alivyoanza kugawa fedha unashangaa kama aina ya viongozi wajao ndo hawa basi nchi yetu itachkua muda kupga hatua
yani sijui huo ubunge unautamu gani me hadi nashangaa
Endelea kuzitafuna hadi ununue ng'ombe mbona unawasanua?pesa nimekula kwa hao wote watatu me nimjumbe ndo maana sijapenda tabia yao