Uchaguzi 2020 Siyo vyema kwa baadhi ya watia nia CCM huku Jimbo la Nkenge wilayani Misenyi wanavyogawa fedha kimya kimya

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
276
Reaction score
549
Takukuru njooni maeneo ya Kitobo, Buyango na Bwanjai maana itafikia hatua tutakosa mgombea mzuri na hapo ndo itakuwa mwanzo wa kulipoteza jimbo.

Wewe daktari wa binadamu mwenye Elimu ya AMO na wewe balozi Uliyekuwa mbunge msimu ulioisha pia na wewe sijui uliyekuwa mkuu wa Wilaya ya kibaha punguzeni hiyo michezo la sivyo mtakipaka chama chetu matope bila sababu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ubunge apewe mtu yeyote lakini asiwe Asumputa Nshunju Mshama au Dr Deodorus Kamala Buberwa, hawa wote wamewahi kuwa wabunge huko Nkenge lakinj hawakuisaidia chochote mpaka leo. Na CCM ikitaka kupoteza kiti chake basi irudishe hawa watu, Kamala hana lolote la kuwasaidia wana Nkenge, Assumputa ni yale yale japo walau kidogo kuliko Kamala
 
Kwanini usiwaalike wana nzengo wenzio mkachukue pesa za bule,au wewe wamekunyima?
 
Kiukweli hii michezo ya jimbo la nkenge hasa kwa hao ambao kila awamu wapo kwenye kinyanganyilo ni ujinga wa hali ya juu kuwapotosha wananchi kwa kuwadanganya na elfu kumi kumi ni ujingaa mkubwaa

Kyombo ,Assumpta ,kamala msimu huu wajiweke pembeni
 
Karudi yani mavarangati ya milungula ndo habar ya mjini

Hapa dawa ni kuzila na wewe ndo utajua cha kufanya siku ya tar 20 nahisi hili jimbo linahitaji kijana makini wazee watulie
 
Kiukweli hii michezo ya jimbo la nkenge hasa kwa hao ambao kila awamu wapo kwenye kinyanganyilo ni ujinga wa hali ya juu kuwapotosha wananchi kwa kuwadanganya na elfu kumi kumi ni ujingaa mkubwaa

Kyombo ,Assumpta ,kamala msimu huu wajiweke pembeni
kuna mmoja anajiita doctor Mazima yani ukimwona maono yake juu ya uongozi na alivyoanza kugawa fedha unashangaa kama aina ya viongozi wajao ndo hawa basi nchi yetu itachkua muda kupga hatua
 
Takukuru njooni maeneo ya Kitobo, Buyango na Bwanjai maana itafikia hatua tutakosa mgombea mzuri na hapo ndo itakuwa mwanzo wa kulipoteza jimbo.

Wewe daktari wa binadamu mwenye Elimu ya AMO na wewe balozi Uliyekuwa mbunge msimu ulioisha pia na wewe sijui uliyekuwa mkuu wa Wilaya ya kibaha punguzeni hiyo michezo la sivyo mtakipaka chama chetu matope bila sababu
Kesi ya paka una mpelekea panya?
 
kuna mmoja anajiita doctor Mazima yani ukimwona maono yake juu ya uongozi na alivyoanza kugawa fedha unashangaa kama aina ya viongozi wajao ndo hawa basi nchi yetu itachkua muda kupga hatua
Na hao mbona kama ni wa kila awamu wamoooo ?
 
Back
Top Bottom