Sizipendi tabia hizi niwapo ndani ya daladala....!

mengine nshakutana nayo kasoro namba 7 tu...

Inategemea pia una SURA ya aina gani. Sasa Wewe una SURA mbaya kama Kifaru katoka Haja kubwa unadhani hiyo namba saba ( 7 ) itakutokea kweli Mkuu?
 

Safi sana Mkuu ulimkomesha vizuri sana. Wapo wengi kweli wenye hiyo tabia ndani ya Madaladala yetu haya. Nami Kesho au mbeleni nitaiiga hii uliyomfanyia huyo Bibi.
 
Wale wanaoongea na simu saa zima tena mambo ambayo ni personal.. Kwenye daladala inatakiwa kuongea brief au kama ni kuongea kwa kirefu iwe mambo muhimu ya kazi au biashara...
 
Duh hio namba 8 ilinikuta ndani ya ndege kuna mijamaa sijui kama wa mbele au nyuma yangu ilikuwa inajamba hatareee mwanzo mpaka mwisho wa safari. Halafu nilikaa na demu mkali wa kizungu kushuka naona ananiangalia mie kama ndie niliekuwa najamba. Nilitamani nimfuate nimuulize mbona unaniangalia hivyo? Lakini nilikuwa nasubiri Luggage yangu tu.
 

Pole sana Mkuu ila huyo Mzungu aliondoka na alama ya kudumu juu yako kuwa Wewe ndiye " ulijamba " na usishangae yawezekana hata Picha alikupiga na sasa Wajukuu zake huko Ulaya wakitaka kucheka anawaonyesha tu Picha yako ya Mjambaji maarufu ndani ya flight. au ulijamba kweli Mkuu?
 
Yan tunalazimishwa kuwa na tabia moja, tabia sawa.......
Bila hizo kero daladala hazina wapandaji........
 
[emoji1] hapana mkuu sikujamba mimi.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mama anampigia simu binti wa kazi nyumbani: HALAFU DADA USISAHAU MTOTO AKIHARISHA UFUE HIZO NEPI ZAKE ZITAKATE NISIKUTE ZINA MIHARO PIA MATAPISHI UYAFUTE KABISAA NGUO ZISIBAKIE NA HARUFU MBAYA
hahahahahahahah daah hatar sana,, afu yeye yupo konfotabo
 
hahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…