GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
GENTAMYCIN nilifikiri wewe ni wa kiyoyozi kumbe mpanda daladala kama mimi tu.
Mimi na daladala na Daladala na Mimi Mkuu. Nitakuwaje namiliki Gari wakati hata Baiskeli tu sina? Kumbe na Wewe ni " Kapuku " kama Mimi? Vipi tuunganishe Jinsia " Kibaiolojia " na huu " ukapuku " wetu?