Sizipendi tabia hizi niwapo ndani ya daladala....!

Unapanda daladala unakutana na demu mkali sana ndan ya daladala unamchekia na kuanza kumwongelesha mnaongea poa tu ila unaomba namba ya simu thn anakutosa inakera sana hii
 
Suala la jitu kusinziasinzia kwenye daladala na kunilalialalia begani linaniudhi....huwa nalipishaga kwa nguvu na ghafla..... si ulale kwanza ulikotoka usingizi ukimuisha ndio uje usafiri...????..
 
Kwenye wengi pana mengi.....
Wakati mwingine inakuwa kero....wakati mwingine hufurahisha......
Kama ilivyo kawaida kwa sisi waswahili.... Ustaarabu ni msamiati mgumu sana kueleweka.....

Kwa kuwa inatulazimu kufika tunapotakiwa kufika basi hatuna budi kuvumilia kero hizo..,,,
 
Mkuu ulikua unaangalia pilau nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…