Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ila imenichekesha anavyojikausha kama si yeye eti na yeye harufu inamkeraIshakufika na wewe feitty[emoji12]
Ndiyo hapo sasa......Na lina miezi tisa ( 9 ) halijafuliwa...Loh!
Hii nshawahiwambia mtu aweke kwenye pochi yake akatupe nyumbani kwake.Unakuta mtu amekaa katikati kala hindi kamaliza anakupa mtu wa dirishani bunzi umtupie...
Mi inanitokea saa hizi hapanamba 6 imenitokea leo asb, ikabidi niweke simu mfukoni nimuangalie yeye mpk akaona aibu
Hapa na wale ambao hamnyoagi mikwapa yenu alaf mnavaa vest. Inakera sana alaf unakuta jikwapa la mtu lipo began kwako..
Mkuu ulikua unaangalia pilau nnhilo la kuchungulia cm niliwahi kumkomesha bibi mmoja hivi kwenye daladala alikuwa anachungulia utadhani ile simu ameniazima, nikajisemea cha kufia nini wakati huo bando la chuo ndo jipya, nikaingia tube 8 na kuendelea kupata radha, kilichoendelea si akaanza kuwaka vijana wengine sijui hawana wazazi au ni laana
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]GENTAMYCIN nilifikiri wewe ni wa kiyoyozi kumbe mpanda daladala kama mimi tu.