Sizitaki Mbichi Hizi!!

Sizitaki Mbichi Hizi!!

nilikisoma std three 1992 pale shule ya msingi sabasaba iringa mjini.
 
Hadithi inayokuja, ni ya sungura sikia,alitoka siku moja, njaa aliposikia,...................................................njaa aliposikia, sungura nakwambia
sungura afahamika ujanja kajijazia, wenzake anawacheka sungura huwazomea,Ila siku ikafika ya sungura kuumia,ya sungura kuumia, sungura nakuambia nakuambia.
 
humu kuna watu wazima duh!!!!!!!
Jf na iheshimiwe kwakweli.......
 
Sizitaki mbivu hizi! Hapa nilimshangaa sana sungura kukataa ndizi za kuiva wakati mi nilikuwa nazipenda sana, nilikuwa naona kama stori ni true.
 
Enzi hizo wakati tunasoma KKK darasa la I na la II kabla ya kina Mulugo hawaleta mambo yao. Mwaka 1993 hiyo, na kwenye kitabu hicho cha Kiswahili darsa la III kulikuwa na ile stori ya Kibanga ampiga mkoloni na Sadiki na Sikiri...Lol
 
Back
Top Bottom