Sizitaki Mbichi Hizi!!

Sizitaki Mbichi Hizi!!

Nilisoma enzi za mtaala ukiwa mmoja unaeleweka nchi nzima, sasa hivi ni uzushi tuuu!!!
 
na vitoto pia........

watoto wa siku hizi hasa mabinti waliozaliwa miaka ya 1990 na kuendelea wamekuwa haraka ni wabibi kwa muonekano yaani wamezeeka haraka so huwezi kuwaita vitoto, ni watu wa makamo
 
Utoto noma. Eti mi nilikuwa namwonea huruma huyo sungura kishenzi, mpaka machozi yanataka kunitoka. Teh teh!
 
Hiyo kitambo sana 1998 nipo darasa la 3 Kimanga Primary school(tabata)
 
Back
Top Bottom