hapo kwenye red hivyo vimatunda vitamu/vichachu vimepotelea wapi siku hizi
:focus: umenikumbusha unavizia mazambarua, mapera kwa jirani unafika home umechelewa unapata viboko
Hahaha! Lizzy bana..lolKumbe unazijua mkwe???
Mi nazipenda jamani, sijui ntazikuta xmass.:A S-coffee:
Hhahahaha, ila bado hamna kukoma. Nakumbuka zambarau si tulikua tunapata nyumbani, basi mtu akipanda anatingisha matawi sisi tunadaka na sketi, zoezi likiisha nguo zimekua zambarauuuuuuuu.
[/SIZE]:focus: umenikumbusha unavizia mazambarua, mapera kwa jirani unafika home umechelewa unapata viboko
Aliposhindwa kufika kwenye mgomba akaanza kusingizia sizitaki mbichi hizi..Sizitaki mbichi hizi....mpaka kakosa mkia... Du long time eehh, thx mkuu!!
kwa kweli labda uwe umeiona hiyo picha au unaijua hadithi nyuma ya picha huwezi kukumbuka kitu... ndio mimi hapa...
Halafu umerudi kutoka shule haujasoma umeenda kucheza rede na kombolela unarudi saa moja jioni unamkuta mdingi anaKusubiria na fimbo..lolSaa hiyo maza keshatembeza kichapo cha kutoweka, kuiba mazambarau ya watu na kutojifunza kupika na dada. Ukipumua. Tu dingi anaingia na kutembeza kichapo cha hujaoga hadi saa hizi,kwani ulikua kazini? Kha! Afu kesho tena unarudia, raha kweli!
Saa hiyo maza keshatembeza kichapo cha kutoweka, kuiba mazambarau ya watu na kutojifunza kupika na dada. Ukipumua. Tu dingi anaingia na kutembeza kichapo cha hujaoga hadi saa hizi,kwani ulikua kazini? Kha! Afu kesho tena unarudia, raha kweli!
Kumbe unazijua mkwe???
Mi nazipenda jamani, sijui ntazikuta xmass.:A S-coffee:
Hhahahaha, ila bado hamna kukoma. Nakumbuka zambarau si tulikua tunapata nyumbani, basi mtu akipanda anatingisha matawi sisi tunadaka na sketi, zoezi likiisha nguo zimekua zambarauuuuuuuu.
afu nilikuwa na bro mnoko
kazi nlopewa ni kuosha vyombo
jamani nilikuwa naichukia kama kifo
nilikuwa st kayumba
nlikuwa sikosi excuse
tumetumwa mbolea, mifagio, kuni, fito, chochote
ili niruhusiwe kwenda tafuta
tunakuwa wengi
tunaenda kucheza hadi basi
ukirudi huna nini wala nini
umepauka na vumbi wote wanakuogopa
Hahahaha, yani nyie mpaka malimao mlikua mnaiba?Bora hata nyie wa zambarau
sie ilikuwa kwenda kuiba malimao na matunda pori
safari ya masaa matatu toka shule hadi kwenye matunda pori
mkirudi shule ni saa saba mchana
unakuta walimu wakali kama pilipili
saa hizo viatu vimebebwa ili home wasione vumbi
unavaa viatu lakini ukifika home wanashangaa kumbi
liliko miguuni ni jingi kuliko la viatu
Mbona ntakupenda mara kumi mkwe. . . .nitatafuta kwa ajili yako ukija nitafute unakula mpaka unachubuka mdomo kama ukwaju
Hahahaha, yani nyie mpaka malimao mlikua mnaiba?
Ila umenikumbusha yalivyokua yananoga na uji, alafu maganda yake ndo kijiko. Kusoma st. Kayumba wakati mwingine raha kweli.
Dah! Mlikuwa wezi kweli..lolBora hata nyie wa zambarau
sie ilikuwa kwenda kuiba malimao na matunda pori
safari ya masaa matatu toka shule hadi kwenye matunda pori
mkirudi shule ni saa saba mchana
unakuta walimu wakali kama pilipili
saa hizo viatu vimebebwa ili home wasione vumbi
unavaa viatu lakini ukifika home wanashangaa kumbi
liliko miguuni ni jingi kuliko la viatu