Actress Skai Jackson amesema kuwa watu wengi nchini Kenya hawajui vizuri wanavyoonekana because mirrors are not common in some communities. Akizungumza kwenye mahojiano yaliyosambazwa mtandaoni, alieleza kuwa upatikanaji wa vioo unaweza kuwa changamoto katika baadhi ya maeneo, jambo ambalo limezua mjadala mkali online.
Kauli hiyo imegawanya maoni ya Wakenya. Wapo wanaosema alikuwa akizungumzia experience aliyoshuhudia, huku wengine wakidai statement hiyo ni generalization ambayo haiwakilishi maisha ya wengi nchini.
Video hiyo imeendelea kusambaa kwenye social media, huku Wakenya wakitoa maoni tofauti kuhusu ukweli wa madai hayo na namna Kenya ilivyo leo.