Skendo na Memes za Mbappe kuwa Dikteta zinazidi kuTrend kwenye mitandao ya kijamii

Skendo na Memes za Mbappe kuwa Dikteta zinazidi kuTrend kwenye mitandao ya kijamii

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
17,595
Reaction score
39,893
Moja kwa moja ..

Ukipita kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa post yeyote inayonumuhusu mshambuliaji Kylian Mbappe lazima tutakutana na Memes za kuchekesha zinazomuhusisha na udikteta . Hayo hahahaha Bure Kuna matukio kadhaa yanetokea mpaka watu sasa ramsi kumuita Dikteta.

1. Tukio la kumtuma Cherki akamvua kitambaa Cha unahodha Ng'olo Kante.

Hili ni Moja kati ya tukio lililoibua kelele kubwa kwa mashabiki ilikuwa katika mchezo wa kirafiki wa timu yaTafa ya Ufaransa , Mbappe ambaye ndiye nahodha mkuu alikuwa bechi na uwanjani alikuwa Ng'olo Kante kama nahodha katika mechi hiyo . Wakati Mbappe anaingia dakika ya 80 alimuita mchezaji aliyekuwa uwanjani Ryan Cherki akamvua kitambaa Cha Unahodha Ng'olo Kante kabla ya kuingia uwanjani ambapo kitendo hiko kilibua hoja za udikteta kwa nguvu kubwa
images (54).jpeg


2. Kutoa maelekezo kwa wafanya usafi uwanjani maeneo gani wasafishe.

Ilikuwa mechi ya Kombe la Dunia linaloendelea sasa mechi ilisinama kutokana na mvua Kali ya mabarafu , iliposimama wakati wafanya usafi wameingia kusafisha mabarafu Mbappe alionekana uwanjani akitoa maelekezo yake namna ya kusafisha kwa wafanya usafi hao
IMG_20260704_170823.jpg


3. Matukio mengine mengi mfano mechi iliyopita alimpatia kitambaa Cha unahodha Refa wakati anatoka nje ya uwanja nakumpa maelekezo mtu wa kumpatia na wakati anatoka kocha wake akainama kidogo kwa heshima
IMG_20260704_170452.jpg
 
Baadhi ya memes
IMG_20260704_171315.jpg



IMG_20260704_171238.jpg
 
Inategemeana na mtu na mtu.

Mimi kwenye news feed kila niki scrow nakutana na

FB_IMG_1783166369554.jpg


Nice tackle
FB_IMG_1782971446554.jpg


When opponent is not Elche

FB_IMG_1782932201041.jpg


Golden boot
FB_IMG_1782819147591.jpg


Two Argentina players at funeral
FB_IMG_1782804465459.jpg


An armless goalie trying to catch the ball with his eyes
FB_IMG_1782741380057.jpg


Messi with his coach asking the referee for a penalty
FB_IMG_1782727882535.jpg


Messi's father is using his fingers to show the number of penalties he gave to his son

FB_IMG_1782728119118.jpg


Messi's favourite food
FB_IMG_1782632853999.jpg


Don't get it wrong, it's just a GOAT statue but designed with wrong guy who's Ronaldo fan
FB_IMG_1782572876029.jpg


Messi's father was caught on camera looking happy after Messi had scored
FB_IMG_1782546651160.jpg


Relax, it's just a shadow
FB_IMG_1782544911990.jpg


Can't say much on this
FB_IMG_1782554550551.jpg


When it's Argentina vs giant teams
FB_IMG_1782497762735.jpg


When penalties are not awarded
FB_IMG_1782217606357.jpg


Personal awards
FB_IMG_1782141046495.jpg


Argentina coach
FB_IMG_1782140890947.jpg


Messi preventing the ball with his hand from hitting a Netherlands player. What a fair play!
FB_IMG_1782138076153.jpg


Nice tackle too
FB_IMG_1782072127694.jpg


Celebration: Thanks to the bald guy for making this happen
FB_IMG_1782141953183.jpg


France player is laying his foot on Algeria player
FB_IMG_1781683127794.jpg
 
Mbappe alizingua tukolio la kumgomea alonso katika ile fainali wanapoteza mbele ya barca..
Kisha kumdai kitambaa cha unahodha kante


Haya ni matukio alifanya ya kiduwanzi sana
 
Mbappe alizingua tukolio la kumgomea alonso katika ile fainali wanapoteza mbele ya barca..
Kisha kumdai kitambaa cha unahodha kante


Haya ni matukio alifanya ya kiduwanzi sana
Nimekumbuka ile ya Alonso tena akiwaambia na wenzake wasiende , dah jamaa kweli ana vitabia vibaya sana
 
Moja kwa moja ..

Ukipita kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa post yeyote inayonumuhusu mshambuliaji Kylian Mbappe lazima tutakutana na Memes za kuchekesha zinazomuhusisha na udikteta . Hayo hahahaha Bure Kuna matukio kadhaa yanetokea mpaka watu sasa ramsi kumuita Dikteta.

1. Tukio la kumtuma Cherki akamvua kitambaa Cha unahodha Ng'olo Kante.

Hili ni Moja kati ya tukio lililoibua kelele kubwa kwa mashabiki ilikuwa katika mchezo wa kirafiki wa timu yaTafa ya Ufaransa , Mbappe ambaye ndiye nahodha mkuu alikuwa bechi na uwanjani alikuwa Ng'olo Kante kama nahodha katika mechi hiyo . Wakati Mbappe anaingia dakika ya 80 alimuita mchezaji aliyekuwa uwanjani Ryan Cherki akamvua kitambaa Cha Unahodha Ng'olo Kante kabla ya kuingia uwanjani ambapo kitendo hiko kilibua hoja za udikteta kwa nguvu kubwaView attachment 3622448

2. Kutoa maelekezo kwa wafanya usafi uwanjani maeneo gani wasafishe.

Ilikuwa mechi ya Kombe la Dunia linaloendelea sasa mechi ilisinama kutokana na mvua Kali ya mabarafu , iliposimama wakati wafanya usafi wameingia kusafisha mabarafu Mbappe alionekana uwanjani akitoa maelekezo yake namna ya kusafisha kwa wafanya usafi hao View attachment 3622449

3. Matukio mengine mengi mfano mechi iliyopita alimpatia kitambaa Cha unahodha Refa wakati anatoka nje ya uwanja nakumpa maelekezo mtu wa kumpatia na wakati anatoka kocha wake akainama kidogo kwa heshima View attachment 3622450
Kama mchezaji anajua uwanja uwe vipi kuepuka ajali, akae kimya ilhali anaweza kuwaelekeza wanaosafisha?
 
Kuna clip yuko na wachezaji wenzake wa timu ya taifa kwenye ndege halafu wanamuita Mobutu, Mobutu😂😂😂
 
Back
Top Bottom