Skendo na Memes za Mbappe kuwa Dikteta zinazidi kuTrend kwenye mitandao ya kijamii

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
17,595
Reaction score
39,893
Moja kwa moja ..

Ukipita kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa post yeyote inayonumuhusu mshambuliaji Kylian Mbappe lazima tutakutana na Memes za kuchekesha zinazomuhusisha na udikteta . Hayo hahahaha Bure Kuna matukio kadhaa yanetokea mpaka watu sasa ramsi kumuita Dikteta.

1. Tukio la kumtuma Cherki akamvua kitambaa Cha unahodha Ng'olo Kante.

Hili ni Moja kati ya tukio lililoibua kelele kubwa kwa mashabiki ilikuwa katika mchezo wa kirafiki wa timu yaTafa ya Ufaransa , Mbappe ambaye ndiye nahodha mkuu alikuwa bechi na uwanjani alikuwa Ng'olo Kante kama nahodha katika mechi hiyo . Wakati Mbappe anaingia dakika ya 80 alimuita mchezaji aliyekuwa uwanjani Ryan Cherki akamvua kitambaa Cha Unahodha Ng'olo Kante kabla ya kuingia uwanjani ambapo kitendo hiko kilibua hoja za udikteta kwa nguvu kubwa

2. Kutoa maelekezo kwa wafanya usafi uwanjani maeneo gani wasafishe.

Ilikuwa mechi ya Kombe la Dunia linaloendelea sasa mechi ilisinama kutokana na mvua Kali ya mabarafu , iliposimama wakati wafanya usafi wameingia kusafisha mabarafu Mbappe alionekana uwanjani akitoa maelekezo yake namna ya kusafisha kwa wafanya usafi hao

3. Matukio mengine mengi mfano mechi iliyopita alimpatia kitambaa Cha unahodha Refa wakati anatoka nje ya uwanja nakumpa maelekezo mtu wa kumpatia na wakati anatoka kocha wake akainama kidogo kwa heshima
 
Baadhi ya memes


 
Inategemeana na mtu na mtu.

Mimi kwenye news feed kila niki scrow nakutana na



Nice tackle


When opponent is not Elche



Golden boot


Two Argentina players at funeral


An armless goalie trying to catch the ball with his eyes


Messi with his coach asking the referee for a penalty


Messi's father is using his fingers to show the number of penalties he gave to his son



Messi's favourite food


Don't get it wrong, it's just a GOAT statue but designed with wrong guy who's Ronaldo fan


Messi's father was caught on camera looking happy after Messi had scored


Relax, it's just a shadow


Can't say much on this


When it's Argentina vs giant teams


When penalties are not awarded


Personal awards


Argentina coach


Messi preventing the ball with his hand from hitting a Netherlands player. What a fair play!


Nice tackle too


Celebration: Thanks to the bald guy for making this happen


France player is laying his foot on Algeria player
 
Mbappe alizingua tukolio la kumgomea alonso katika ile fainali wanapoteza mbele ya barca..
Kisha kumdai kitambaa cha unahodha kante


Haya ni matukio alifanya ya kiduwanzi sana
 
Mbappe alizingua tukolio la kumgomea alonso katika ile fainali wanapoteza mbele ya barca..
Kisha kumdai kitambaa cha unahodha kante


Haya ni matukio alifanya ya kiduwanzi sana
Nimekumbuka ile ya Alonso tena akiwaambia na wenzake wasiende , dah jamaa kweli ana vitabia vibaya sana
 
Kama mchezaji anajua uwanja uwe vipi kuepuka ajali, akae kimya ilhali anaweza kuwaelekeza wanaosafisha?
 
Kuna clip yuko na wachezaji wenzake wa timu ya taifa kwenye ndege halafu wanamuita Mobutu, Mobutu😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…