makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Jul 5, 2026 #21 adriz de mbusii said: Nimekumbuka ile ya Alonso tena akiwaambia na wenzake wasiende , dah jamaa kweli ana vitabia vibaya sana Click to expand... Pale alizingua mnooo
adriz de mbusii said: Nimekumbuka ile ya Alonso tena akiwaambia na wenzake wasiende , dah jamaa kweli ana vitabia vibaya sana Click to expand... Pale alizingua mnooo
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,644 Reaction score 14,813 Jul 5, 2026 #22 Huyo ndio sababu kante anakaa bench pale France kuna video moja inaonekana wachezaji wote wa France walienda kumsalimia ila kante alipita mazima itakuwa hakumuoma na huo ndio ukawa ugomvi wao ulipoanzia.
Huyo ndio sababu kante anakaa bench pale France kuna video moja inaonekana wachezaji wote wa France walienda kumsalimia ila kante alipita mazima itakuwa hakumuoma na huo ndio ukawa ugomvi wao ulipoanzia.