SKENDO: Sarah ambwaga Harmonize, sasa mapenzi motomoto na Mwarabu Fighter


Yaani kila ukiambiwa acha mambo ya kike hutaki yaani ni kama sikio la kufa!!
 
Habari za chini ya kapeti au za mange kimambi? Sio mbaya hata ukisema kwa hisani ya mange kimambi
 
Mtoto wa kiume lkn una mambo ya kike kike na huyo mange naona maandamano yamemshinda naona kaamua kurudi kwa mnyonge wake Diamond (hilo ndilo analoliweza).Acheni kumsingizia Mwarabu,jamaa ana mke wake wametoka mbali na mtoto mmoja angalieni hiz habari zenu za kizushi,zitakuja kuharibu ndoa za watu alafu mtoto aje kupata tabu.
 
Mtoto wa kiume lkn una mambo ya kike kike na huyo mange naona maandamano yamemshinda naona kaamua kurudi kwa mnyonge wake Diamond (hilo ndilo analoliweza).Acheni kumsingizia Mwarabu,jamaa ana mke wake.
For the sake ya Kudanga wanaweza hata kukubaliana na mkewe ili wapate hela toka kwa Sarah
 
For the sake ya Kudanga wanaweza hata kukubaliana na mkewe ili wapate hela toka kwa Sarah
Kwa hiyo na wewe unaamini eti "WANAWEZA",we unazani kila mtu anendeshwa na tamaa ya ela.
 
kwani uyo dem anatoa hela shingapi?
 
Huyo mwarabu fighter ndiyo nani?.... Ni bondia au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…