Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu,maadili na hofu ya MunguMwana FA anajielewa sana ,kwanza ni vigumu kumuona kavaa vinguo vya kumbana bana (modo) yeye huwa anavaa mabwanga tu.
HapanaKumbe Hance Mtanashati ndio warumi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]We jamaa toa avata ya mwanaume uweke ya kike maana mada zako huwa ni za kikekike
Majukwaa yapo mengi humu JF, nenda jukwaa la siasa ukajadili mambo ya nchiAlafu hizi si ni ishu za insta. Tuacheni JF tujadili mambo yenye maslai mapana kwa nchi
Nyumbu wa MangeKwa habari za chini ya kapeti ni kwamba yule mzungu wa Harmonize (Konde boy) Sarah kwa sasa haambiwi wala hasikii kitu kuhusu mwarabu fighter yaani anampenda mpaka kapitiliza ,zile pesa alizokuwa ana muhonga Harmonize kwa sasa kwa kiasi kikubwa amezihamishia kwa mwarabu fighter na gharama za gym kwa kiasi kikubwa yeye ndiye anazisimamia.
Sarah amepunguza mapenzi kwa kiasi kikubwa na Harmonize kilichobaki anahangaikia tu penzi la mwarabu fighter ili aweze kutuliza roho yake.
Kitu ambacho mpaka sasa kinachofanya ugumu wa couple hiyo kusimama ni kutokana na Harmonize kuwa mtu wa karibu saana na Diamond Platnumz ambaye pia ndiye anayemuweka mjini mwarabu fighter na siku zote ukitaka kumkwaza Diamond au ukitaka kumkwaza Harmonize basi mtu amkwaze mmoja wapo yani Diamond wanapendana sana kama mtu na kaka yake.
Kwa hiyo mwarabu fighter anaogopa kibarua kuota nyasi kama akifanikiwa kumpindua Harmonize .
Sema naye huyu binti amezidi umalaya kwa kweli duuh anagawa utamu si mchezo.
Sawa mwanamke wa mikoaniWanaume wa Dar ktk ubora wao
Subiri kupigwa Mti nyama tu km Dada zako mnaopeana umbeaSawa mwanamke wa mikoani
JF hata km ni social forum tunajadili mambo yenye tija, yanayodadisi na kuchochea kufikri kwa mapana.Majukwaa yapo mengi humu JF, nenda jukwaa la siasa ukajadili mambo ya nchi
Umepotea jukwaaaJF hata km ni social forum tunajadili mambo yenye tija, yanayodadisi na kuchochea kufikri kwa mapana.
Bahati mbaya social forums haina maana ya umbea.
OKSubiri kupigwa Mti nyama tu km Dada zako mnaopeana umbea
halafu inasemekana dogo hajawahi kula mzigo si unajua tena wazungu unaweza mkawa boyfriend na girlfriend hata zaidi ya miaka mitatu bila hata kulana,dogo miezi iliyopita alihojiwa kuhusu mimba akadai ana mimba huyo dem juzi anadai eti imetoka hapo mtaalam utajua ni udaku toshaKwa habari za chini ya kapeti ni kwamba yule mzungu wa Harmonize (Konde boy) Sarah kwa sasa haambiwi wala hasikii kitu kuhusu mwarabu fighter yaani anampenda mpaka kapitiliza ,zile pesa alizokuwa ana muhonga Harmonize kwa sasa kwa kiasi kikubwa amezihamishia kwa mwarabu fighter na gharama za gym kwa kiasi kikubwa yeye ndiye anazisimamia.
Sarah amepunguza mapenzi kwa kiasi kikubwa na Harmonize kilichobaki anahangaikia tu penzi la mwarabu fighter ili aweze kutuliza roho yake.
Kitu ambacho mpaka sasa kinachofanya ugumu wa couple hiyo kusimama ni kutokana na Harmonize kuwa mtu wa karibu saana na Diamond Platnumz ambaye pia ndiye anayemuweka mjini mwarabu fighter na siku zote ukitaka kumkwaza Diamond au ukitaka kumkwaza Harmonize basi mtu amkwaze mmoja wapo yani Diamond wanapendana sana kama mtu na kaka yake.
Kwa hiyo mwarabu fighter anaogopa kibarua kuota nyasi kama akifanikiwa kumpindua Harmonize .
Sema naye huyu binti amezidi umalaya kwa kweli duuh anagawa utamu si mchezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hance hance.... mzee huu ubuyu unatoaga wapi aise...
Jukwaa la celebrates wewe ndio mfalme wake hakuna mwingine tena mkuu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]