Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
Wanadaslam ndo maana jamaa anataka kuwapima oil kilazima kupima tez dume na kujua wangapi washachanwa lindazMwanaume kufatilia maisha ya mwanaume mwenzio hizi tabia sijui zimeanza lini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanadaslam ndo maana jamaa anataka kuwapima oil kilazima kupima tez dume na kujua wangapi washachanwa lindazMwanaume kufatilia maisha ya mwanaume mwenzio hizi tabia sijui zimeanza lini
ndivyo ilivyo hivyo kwa wazungu uliza hata wenzio wakuelezee wazungu penzi lao mnaweza mkakaa mda mrefu bila penzi just friend tu hata kama unamsomesha sanaUmeanza kuelezea walivyo tofauti eti unaweza kutoka nae mwaka mzima lakini hajakupa penzi. Ndio nakuambia ni story za kijiweni tu hizo au labda kakuona huna ukuni .
ndivyo ilivyo hivyo kwa wazungu uliza hata wenzio wakuelezee wazungu penzi lao mnaweza mkakaa mda mrefu bila penzi just friend tu hata kama unamsomesha sana
Tatizo haamini kama anajiaibisha, subiri mwezi wa ramadhani ufike utashangaa anafungua uzi wa ramadhani unabaki unashangaa huyu si ndio yule mvulana mwenye tabia za kikeMkuu unajiaibisha..
wewe unaonekana wa kijijini flani hivi tatizo unaforce tu iwe we wa kijiji gani vile?Acha uzwazwa, wazungu watu tu. Unaweza kuoa usiku ukaacha asubuhi kama kina Mwantumu wetu. Inaitwa one night stand bro. Mi niko kijijini kwao hapa kwahiyo sina haja ya kuuliza watu.
wewe unaonekana wa kijijini flani hivi tatizo unaforce tu iwe we wa kijiji gani vile?
Hahahahah eti "yani unaambiwa "Ukiona sehemu imeandikwa "yani unaambiwa" ujue ni udaku.
kvp??! ndio maana nasema wewe sioWa kijijini ni wewe unawaona wazungu big deal
Sio mwenzetu huyo na leo atakua msibani kwa BilalMwanaume kufatilia maisha ya mwanaume mwenzio hizi tabia sijui zimeanza lini
Mwanaume kufatilia maisha ya mwanaume mwenzio hizi tabia sijui zimeanza lini