SKENDO: Sarah ambwaga Harmonize, sasa mapenzi motomoto na Mwarabu Fighter

Umeanza kuelezea walivyo tofauti eti unaweza kutoka nae mwaka mzima lakini hajakupa penzi. Ndio nakuambia ni story za kijiweni tu hizo au labda kakuona huna ukuni .
ndivyo ilivyo hivyo kwa wazungu uliza hata wenzio wakuelezee wazungu penzi lao mnaweza mkakaa mda mrefu bila penzi just friend tu hata kama unamsomesha sana
 
ndivyo ilivyo hivyo kwa wazungu uliza hata wenzio wakuelezee wazungu penzi lao mnaweza mkakaa mda mrefu bila penzi just friend tu hata kama unamsomesha sana

Acha uzwazwa, wazungu watu tu. Unaweza kuoa usiku ukaacha asubuhi kama kina Mwantumu wetu. Inaitwa one night stand bro. Mi niko kijijini kwao hapa kwahiyo sina haja ya kuuliza watu.
 
Mkuu unajiaibisha..
Tatizo haamini kama anajiaibisha, subiri mwezi wa ramadhani ufike utashangaa anafungua uzi wa ramadhani unabaki unashangaa huyu si ndio yule mvulana mwenye tabia za kike
 
Acha uzwazwa, wazungu watu tu. Unaweza kuoa usiku ukaacha asubuhi kama kina Mwantumu wetu. Inaitwa one night stand bro. Mi niko kijijini kwao hapa kwahiyo sina haja ya kuuliza watu.
wewe unaonekana wa kijijini flani hivi tatizo unaforce tu iwe we wa kijiji gani vile?
 
Baadhi ya watanzania wengi wanapenda umbea, nini kimewasibu wadau kukoment mada ya kimbea??
NB: BINADANU KIASILI NI KIUMBE MWENYE KUTAKA KUPATA TAARIFA, IWE TAARIFA YA MAANA AU YA HOVYO.
 
Wanaume siku hizi wanaongoza kwa umbea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume kufatilia maisha ya mwanaume mwenzio hizi tabia sijui zimeanza lini

Anatoka Dar, si unawajuwa wanaume wa Dar walivyo....hapo kishamaliza kucheza rede na house girl hana cha kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…