Skendo ya Ronaldo

Skendo ya Ronaldo

B49

Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
75
Reaction score
119
Japo mm si mshabiki WA Christian Ronaldo lkn nimesikitishwa na tuhuma za ubakaji zinazomkabili, najiuliza maswal mengi supastaa km Ronaldo anaanzaje Kubaka ?
Na Walikuwa wap kumfungulia Kesi miaka Yote hyo iliyopita
 
Hatari sana ngoja wasitishe mikataba yake ya matangazo aliyoingia ya mabilioni....wanamchunguza kwanza.
 
Kesi za hawa watu ni shida aisee yaani mtu anatenda kosa miaka 15 inapita ndio anakuja kushtakiwa
 
Huyu ndo Mwanamke anaesema alibakwa Na Ronaldo Na anataka kiasi kikubwa cha pesa Kwa matatizo ya kisaikolojia aliyosababishiwa baada ya kubakwa.
Ila hiyo picha haionyeshi kama kabakwa MTU hapo
IMG-20181005-WA0057.jpg
 
Huyu ndo Mwanamke anaesema alibakwa Na Ronaldo Na anataka kiasi kikubwa cha pesa Kwa matatizo ya kisaikolojia aliyosababishiwa baada ya kubakwa.
Ila hiyo picha haionyeshi kama kabakwa MTU hapoView attachment 888739
Wengine wanatafuta nafasi hata wabakwe na cristiano roho zao zisuuzike.

Sura yake tu hapo inaonesha anamtamani cristiano. Na alikua wapi miaka yote hiyo. Kama anamsingizia kaka wa watu hatua kali zichukuliwe juu yake
 
Si kwamba ni fitna ili wamchafulie jina? kwann wamshtaki Leo?
Mimi mwenyewe nahisi utakuwa mchezo wa Rais wa Madrid Perez, inasemekana jamaa mafia, inaoneka kamaindi Ronaldo kuhama Madrid , kwani tangu jamaa aondoke kuanzia Madrid mpaka La liga mapato yameshuka na hata kiwango cha Madrid kimeporomoka, kwani ni ngumu kumpata mchezaji atakayekupa uhakika wa kufunga magoli 40+ kwa msimu.
 
Atafilisika mzee baba
Hawezi filisika ila itamrudisha nyuma kimapato (dili) pia ikithibitishwa ni kweli basi atastaafu soka akiwa na heshima ndogo tofauti na alivyoitengeneza. Wenzetu wanajali sana linapokuja suala zima la haki za kibinadamu.
 
Back
Top Bottom