PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Ahahahhahaahha sasa alifaidi lakini ona akiwin analipwa pesa mingi
Anadai Ronaldo alishamlipa pesa nyingi kumziba mdomo. Lakini kaamua kuja kivingine, na wataalamu wa kesi hizi wanasema kama kweli alimlipa pesa, hii inaweza kutumika kama ushahidi juu yake. Uombe sakata kama hili lisimkute hata mtu wako wa karibu, noma sana