Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiangalia vizuri ile scandal inaonekana yule Dada anataka kupata hela za bure Kwa kumchafua Ronaldo
Kumbe una timu aiseeAcha kuichafua timu yangu, CR7 apambane tu na hali yake
mdada ndo huyo mwenye hereniHuyu ndo Mwanamke anaesema alibakwa Na Ronaldo Na anataka kiasi kikubwa cha pesa Kwa matatizo ya kisaikolojia aliyosababishiwa baada ya kubakwa.
Ila hiyo picha haionyeshi kama kabakwa MTU hapoView attachment 888739
Upumbavu wao wenyewe na viburi vyao Ronaldo alitaka mkataba wake uboreshwe na alipwe vizur ikiwemo kupewa mkataba wa muda mrefu naona walimdharau bila kujua madhara yakeMimi mwenyewe nahisi utakuwa mchezo wa Rais wa Madrid Perez, inasemekana jamaa mafia, inaoneka kamaindi Ronaldo kuhama Madrid , kwani tangu jamaa aondoke kuanzia Madrid mpaka La liga mapato yameshuka na hata kiwango cha Madrid kimeporomoka, kwani ni ngumu kumpata mchezaji atakayekupa uhakika wa kufunga magoli 40+ kwa msimu.
Kwani alilazimishwa amuuze? Si angemuongezea mpunga jamaa akaendelea kuwapa huduma yake
Haahaaa..eti wazungu waoga wa kutongozaWatu wengi hua hawajui! WAZUNGU HUA NI WAOGA SANA KUTONGOZA WANAWAKE! WENYE UJASIRI NI WACHACHE! USIKUTE KWELI ALIBAKA!
Hahahaaaa!!!!Huyo hata ziwa hakushikwa Na Ronaldo anataka Kik tuu
Mkuu si ndo hiyo hapo unayoiona. Anatuhumiwa kumbaka mwanamke ambaye kwa sasa ana 34 yrs mwaka 2009 huko Marekani. Kesi ilifikishwa kwa police hukohuko marekan ambao waliona Ronaldo hakuwa na hatia yoyote na ikaisha.mwenye hiyo taarifa aiweke hapa tafadhali
Ronaldo hata akikubaka ni kama umesafisha nyota,,sema pesa hizii bana
Ahahahhahaahha sasa alifaidi lakini ona akiwin analipwa pesa mingiStory za yule dada umeziumezisikia? Kasema Ronaldo alimuinamisha kwa nguvu akampa nao wa nyuma. Kama kusafisha nyota ndio hivyo, poleni wahusika.