Si kwamba ni fitna ili wamchafulie jina? kwann wamshtaki Leo?Kama ni kweli jamaa atapata loss kubwa naona Nike wamesema bado wanazifuatilia tuhuma zake kama zikithibitishwa kweli basi jamaa watavunja mkataba nae.
Wengine wanatafuta nafasi hata wabakwe na cristiano roho zao zisuuzike.Huyu ndo Mwanamke anaesema alibakwa Na Ronaldo Na anataka kiasi kikubwa cha pesa Kwa matatizo ya kisaikolojia aliyosababishiwa baada ya kubakwa.
Ila hiyo picha haionyeshi kama kabakwa MTU hapoView attachment 888739
Mimi mwenyewe nahisi utakuwa mchezo wa Rais wa Madrid Perez, inasemekana jamaa mafia, inaoneka kamaindi Ronaldo kuhama Madrid , kwani tangu jamaa aondoke kuanzia Madrid mpaka La liga mapato yameshuka na hata kiwango cha Madrid kimeporomoka, kwani ni ngumu kumpata mchezaji atakayekupa uhakika wa kufunga magoli 40+ kwa msimu.Si kwamba ni fitna ili wamchafulie jina? kwann wamshtaki Leo?
Hawezi filisika ila itamrudisha nyuma kimapato (dili) pia ikithibitishwa ni kweli basi atastaafu soka akiwa na heshima ndogo tofauti na alivyoitengeneza. Wenzetu wanajali sana linapokuja suala zima la haki za kibinadamu.Atafilisika mzee baba