Skendo ya Ronaldo

Eeeeeee kubaka? ?? Ila inawezekana mana ata robinho alibakaaaa tena mtungo
 
Wengine wanatafuta nafasi hata wabakwe na cristiano roho zao zisuuzike.

Sura yake tu hapo inaonesha anamtamani cristiano. Na alikua wapi miaka yote hiyo. Kama anamsingizia kaka wa watu hatua kali zichukuliwe juu yake
Kampeni yao ya #MeeToo labda ndo imemtoa mafichoni. Ila hapo kwenye picha anaonekana kabisa anamtamani Ronaldo
 
Kwani alilazimishwa amuuze? Si angemuongezea mpunga jamaa akaendelea kuwapa huduma yake
 
Acha kuichafua timu yangu, CR7 apambane tu na hali yake
 
Acha kuichafua timu yangu, CR7 apambane tu na hali yake
Sijaichafua tim ya mtu bali rumors kutoka ktk vyombo vya habari vya ulaya na ukiangalia hata Madrid mnapumulia mipira mechi tatu mmepigwa mbili moja mmesuluhu na bado mtadrop sana kwani hamna mchezaji, atakayewapa idadi ya goli kama Ronaldo na mnasafari ndefu kuliziba pengo lake, mnagongwa mpaka na CSK Moscow na Sevilla ilikuwa chupu chupu mle tano.
 
Madrid wakikaa vibaya watapita kwenye njia waliopita Liverpool mwaka 2014/2015 baada ya Suarez kuondoka.
 
Madrid ndiyo chanzo cha kuvuma kwa hili saga yani tukio limetokea 9 years ago ila limeanza kuvuma leo,
 
Na walikua bathroom wote je huyo mwanamke alikua anafanya nini na cr7 then leo useme nilibakwa
 
Sijaziona katika mainstream media, kwa suala la Madrid tuko kwenye kipindi cha mpito hatutaki kuharibu pesa, duniani kwasasa mastraika wengi wazuri wako above 28yrs of age. Perezi anataka kutengeneza timu ya vijana zaidi.
Cr7 aliondoka kwa mapenzi yake na hata Madrid hawana kinyongo nae! Aliondoka Beckham ambaye alikuwa anaiingizia timu pesa mingi, Aliondoka Redond akiwa katika ubora wake na timu bado ipo
 
Perez sio mvumilivu, ktk kipindi cha miaka kumi vipaji vilivyo ibuliwa na Madrid ni Isco na Asensio na ndio maana hamna timu yenye matumizi makubwa kama Madrid,kidogo kipindi cha Zidane hawakuongeza watu.
 
Japo mm si mshabiki WA Christian Ronaldo lkn nimesikitishwa na tuhuma za ubakaji zinazomkabili, najiuliza maswal mengi supastaa km Ronaldo anaanzaje Kubaka ?
Na Walikuwa wap kumfungulia Kesi miaka Yote hyo iliyopita

Hajabaka huyo, just gold diggers wanatafuta hela kama wanavyowafanyia mastar wengine
Simpendi Ronaldo ila Siamini kama kabaka bali walikubaliana na sasa demu anamgeuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…