Ahahahhahaahha sasa alifaidi lakini ona akiwin analipwa pesa mingi
Hata wakisitisha milele..they guy has billions of dollars In bank zinahema ..kwanza mshahara tu pale juventus unamtosha kabisaHatari sana ngoja wasitishe mikataba yake ya matangazo aliyoingia ya mabilioni....wanamchunguza kwanza.
Miaka 14 bana sio 30, punguza chumviWabongo wanapenda kufanya hisia zao ndio fact, ni vipi Real Madrid wanahusika na kesi ya Cristiano?
Kesi ya Ronaldo ni yake mwenyewe nje ya michezo. Huyu dada amethibisha kwamba aliwahi kupokea pesa kutoka kwa Cristiano ili kumfunga mdomo. Na wanaosema alikuwa wapi miaka yote, Bill Cosby kafungwa jela kwa kesi ya ubakaji ya miaka 30 iliyopita.
Ronaldo ana jopo la wanasheria waliokwenda shule, hapa blah blah haitasaidia kitu. Acha sheria ichukue mkondo
Ronaldo sio mtu wa kulia kulia shida hahahaKama ni kweli jamaa atapata loss kubwa naona Nike wamesema bado wanazifuatilia tuhuma zake kama zikithibitishwa kweli basi jamaa watavunja mkataba nae.
Ni ukweli kabisa kwamba kuna watu behind huyo mwanamke ..imepikwa hii ishu ..sasa kesi ni gharama kubwa atapambana na jopo la wanasheria wa mtu mwenye hela nyingiMadrid wana fitina sana. Wamepandikiza mtu kumchafua CR7
Najua jamaa ni fighter, ila kumbuka yy Ronaldo ndiye anayeibeba brand ya CR7, sasa ukimchafulia yy unamwaribia mpaka biashara zake. Sasa kama leo eti mwanasheria wa yule binti anataka kuwahoji ma ex wa Ronaldo, ili iweje huu upuuzi tu wa kumwaribia jamaa, sababu tu ya kupata umaarufu.Ronaldo sio mtu wa kulia kulia shida hahaha
Haaaa akikutaka utakubaliRonaldo hata akikubaka ni kama umesafisha nyota,,sema pesa hizii bana
Maskini pole zakeAnadai Ronaldo alishamlipa pesa nyingi kumziba mdomo. Lakini kaamua kuja kivingine, na wataalamu wa kesi hizi wanasema kama kweli alimlipa pesa, hii inaweza kutumika kama ushahidi juu yake. Uombe sakata kama hili lisimkute hata mtu wako wa karibu, noma sana
njoo nikubake mimi...Ronaldo hata akikubaka ni kama umesafisha nyota,,sema pesa hizii bana