Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Wewe ndo Hakika Reuben MwenyeweMimi nachekaga hadi bandama linatikisika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo Hakika Reuben MwenyeweMimi nachekaga hadi bandama linatikisika.
Njia za bwana sio kama za binadamuHata Mungu hatoi hukumu.
Mungu angekuwa anahukumu angeshawaangamiza wasiwepo.
Mbona wapo wamejaa telee?
Taharuk wakati watu wanajitangaza wenyewe, mkuu ivi umesoma vizuri ulichoandika, we unadhani mpaka serikali imekataza watoto kuanzia la kwanza mpaka la nne kutokukaa boarding ni nini unadhani rahisi, sio poa ujue hatari sanaaaMnatengeneza taharuki isiyokuwepo.
Mashoga ni wachache sana na hawana hiyo athari mnayoijenga kwenye akili za watu.
Huku ni kutengeneza JINI ambalo halipo kiuhalisia. Lipo vichwani mwenu tu.
Hahaahaa labdaWewe ndo Hakika Reuben Mwenyewe
Mungu hajawahi kuhukumu ndio maana mashoga wanazidi kupeta.Njia za bwana sio kama za binadamu
NAKAZIANazi ipo , mwenye connection atufanyie wepesi
unadhani mpaka serikali imekataza watoto kuanzia la kwanza mpaka la nne kutokukaa boarding ni nin
Mkuu waraka sina ila niliona kwenye taarifa ya habari kwan we upo nchi gani mkuu? Au mkoa gani? Kama upo namtumbo mashoga huwez kuwaona ila daslama kudadek yamejaa, toka huko bush njoo mjin mzeeNipe WARAKA uliotoa hilo KATAZO ili nione sababu walizoainisha.
Hatuwezi kujenga hoja kama waganga wa kienyeji.
Waraka umeeleza sababu zote za msingi, na kati ya hizo sijaona ushoga kuwa mojawapo.
Kama una maelezo kinzani na haya, thibitisha na unipatie WARAKA uliotoa KATAZO.
Uwa mda mwingine nashindwa kukuelewa bwashee, wewe unasema skendo mara skendo hiyo inamtafuna!SKENDO CHAFU YAMTAFUNA HAKIKA RUBEN, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAMTAKA AREJEE KWA MUNGU.
Mitandao ya kijamii imeibuka kwa kasi nchini Tanzania na imechukua sura mpya kwa watu tofauti ambapo wapo wanaoichukulia kama fulsa ya kujipatia kipato kwa kuuza na kuzitangaza kazi zao, wapo wanaoitumia kama sehemu ya starehe kutuliza mawazo yao lakini pia imekuwa ni darasa huru kwa kila Mtanzania kwani kwa kuzingatia sheria tu unaweza kufanya chochote isipokuwa usivuke mipaka.
Hakika Ruben kutoka Iringa ni miongoni mwa wachekeshaji ambao walianza vizuri na mpaka sasa wanafanya vizuri, kutokana na aina yake ya uchekeshaji amejikuta anakuwa kivutio kwa watu wengi na kujipatia mashabiki rukuki, ambapo kwenye mtandao wake wa Instagram bado kidogo akifikishe wafwasi milioni moja, hii inaonyesha ni kwa kiasi gani jamii inamkubali.
Lakini tangu wiki hii ianze kumekuwa na video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha Hakika akiwa live na wenzake kwenye mtandao wa TikTok ambapo kuna maneno yasiyo na hekima alikuwa anayaongea, kwenye maneno hayo alikuwa anajitambulisha kama mshiriki wa mapenzi ya jinsia moja kwa kumgombania mwanaume mwenzao yeye na mwenzake.
Kutokana na CV ya Hakika na heshima kubwa aliyoitengeneza Watanzania wengi wameonyesha kuchukizwa na kitendo hicho cha kishetani huku wengi wakimtukana na kumtaka arejee kwa Mungu wake aombe msamaha. Yote tisa, kumi mjadala huo umefika hadi nchini Kenya ambapo baadhi ya Wanahabari wameonyesha kukemea kitendo hicho na kuwaasa wazazi kuwaweka mbali watoto wao na mtandao wa Tiktok kwani si salama kwa watoto maana umekuwa kama uwanja wa kuhamasisha na kujifunza ngono.
Hata hivyo licha ya kuitwa Polisi, Hakika mwenyewe ameonyesha kutokujali kwani licha ya watu kumuomba abadirike bado ameendelea kuposti video za kujitangaza zaidi kuwa ni muhusika wa mambo hayo huku akifunga sehemu ya komenti kuwazuia watu wasiandike chochote.
View attachment 2544036
Mimi hainiumizi moyo wacha aliwe!Inaumiza Sana Moyo jamani
Naelewa ni kudhalilishaKambi? Unamlisha?
Halafu ni KUDHALILISHA, sio KUZALILISHA.
Ommy dimpoz yule wa kuimba nani kama mama na Christian bella nae kwani choqo?Natafuta video ya Ommy dimpoz tu
Haiumiizi chochote,, jitu kubwa zima nyapu zote hizi zilizojaa hizi za free boti ye linataka lifilweh yeye,,, liache tu lifilweh qum@nduguzake 😡Inaumiza Sana Moyo jamani
Mkuu mtu anajitangaza yeye mwenyewe anakazwa na wanaume mimi kweli ntapinga hilo? Sisi hatupend hivyo vitendo ila ndio ivyo tena wanaume wenzetu mikundu inawapwita na wana backup ya mabeberu... Kwan mkuu hukuona vitabu vilivyokatazwa mashuleni umeona content za ndani ngoja nitafute nikiweza kuatach ntaatach, agenda ya machoko ni kubwa mkuuNipe WARAKA uliotoa hilo KATAZO ili nione sababu walizoainisha.
Hatuwezi kujenga hoja kama waganga wa kienyeji.
Waraka umeeleza sababu zote za msingi, na kati ya hizo sijaona ushoga kuwa mojawapo.
Kama una maelezo kinzani na haya, thibitisha na unipatie WARAKA uliotoa KATAZO.
Siku hizi tumetoka kwenye kuita watu kua wao ni Freemason,
Sasa hivi tumehamia kwenye kuita watu mashoga!
Jamaa hatukupata jicho la ndani la kumtazama vyema..baada ya kuona ile video chafu na kutazama video zake vyema(comedy) huyu jamaa ni pro, inaonesha ameanza siku nyingi.Haiumiizi chochote,, jitu kubwa zima nyapu zote hizi zilizojaa hizi za free boti ye linataka lifilweh yeye,,, liache tu lifilweh qum@nduguzake [emoji35]
mbe hizo ndo content😂😂😂Mkuu mtu anajitangaza yeye mwenyewe anakazwa na wanaume mimi kweli ntapinga hilo? Sisi hatupend hivyo vitendo ila ndio ivyo tena wanaume wenzetu mikundu inawapwita na wana backup ya mabeberu... Kwan mkuu hukuona vitabu vilivyokatazwa mashuleni umeona content za ndani ngoja nitafute nikiweza kuatach ntaatach, agenda ya machoko ni kubwa mkuu