Skendo ya ushoga yamtafuna Hakika Ruben baada ya video zake kuvuja

Mnatengeneza taharuki isiyokuwepo.

Mashoga ni wachache sana na hawana hiyo athari mnayoijenga kwenye akili za watu.

Huku ni kutengeneza JINI ambalo halipo kiuhalisia. Lipo vichwani mwenu tu.
Taharuk wakati watu wanajitangaza wenyewe, mkuu ivi umesoma vizuri ulichoandika, we unadhani mpaka serikali imekataza watoto kuanzia la kwanza mpaka la nne kutokukaa boarding ni nini unadhani rahisi, sio poa ujue hatari sanaaa
 
Njia za bwana sio kama za binadamu
Mungu hajawahi kuhukumu ndio maana mashoga wanazidi kupeta.

Wanaoteseka ni watu wenye magonjwa ya sonona pamoja na hasira zisizo na maelezo.

Unawezaje KUMFOKEA mtu anapoamua kutumia tiGo yake?
 
unadhani mpaka serikali imekataza watoto kuanzia la kwanza mpaka la nne kutokukaa boarding ni nin

Nipe WARAKA uliotoa hilo KATAZO ili nione sababu walizoainisha.

Hatuwezi kujenga hoja kama waganga wa kienyeji.

Waraka umeeleza sababu zote za msingi, na kati ya hizo sijaona ushoga kuwa mojawapo.

Kama una maelezo kinzani na haya, thibitisha na unipatie WARAKA uliotoa KATAZO.
 
Mkuu waraka sina ila niliona kwenye taarifa ya habari kwan we upo nchi gani mkuu? Au mkoa gani? Kama upo namtumbo mashoga huwez kuwaona ila daslama kudadek yamejaa, toka huko bush njoo mjin mzee
 
Kuna mtu anasema mashoga hawapo aisee... Na hili lililojisema lenyewe limeliwa?
 
Uwa mda mwingine nashindwa kukuelewa bwashee, wewe unasema skendo mara skendo hiyo inamtafuna!

Pia unasema ni yeye anaendelea kujitangaza upitia TikTok, it means anafurahia anacho kifanya,sasa mbona unasema ni skendo wakati ni kweli
 
Kambi? Unamlisha?

Halafu ni KUDHALILISHA, sio KUZALILISHA.
Naelewa ni kudhalilisha
Na niliona hilo kwanzia nina type, ila kusave muda maana nilikuwa ninajibu comment isiyo na mantiki niliopt for two letters -z-a- badala ya three -d-h-a- kuokoa muda wangu maana kwanza haya maongezi sio rasmi kwaiyo usidhani kwamba nina Kiswahili kibovu namna hiyo.
Hata kama simlishi ila hata riziki anazozipata nyingi anazipata chini ya title ya kambi yetu kwamba ni mwanaume. Jina lenyewe analotambulika nalo kwenye jamii lipo chini ya kambi ya uanaume. Boo alilonalo, nk
Kama anahitaji hizo haki akalitoe abadilishe na jinsia, abadilishe jina ajiite hata Dada Bichwa Komwe hapo sitakuwa na issue nae.
 
Mkuu mtu anajitangaza yeye mwenyewe anakazwa na wanaume mimi kweli ntapinga hilo? Sisi hatupend hivyo vitendo ila ndio ivyo tena wanaume wenzetu mikundu inawapwita na wana backup ya mabeberu... Kwan mkuu hukuona vitabu vilivyokatazwa mashuleni umeona content za ndani ngoja nitafute nikiweza kuatach ntaatach, agenda ya machoko ni kubwa mkuu
 

Attachments

  • IMG-20230117-WA0088.jpg
    43.4 KB · Views: 10
  • IMG-20230214-WA0023.jpg
    127.2 KB · Views: 9
  • IMG-20230214-WA0019.jpg
    68.8 KB · Views: 9
  • IMG-20230214-WA0018.jpg
    87.4 KB · Views: 9
  • IMG-20230214-WA0021.jpg
    24.3 KB · Views: 9
  • IMG-20230214-WA0020.jpg
    158.3 KB · Views: 8
  • IMG-20230214-WA0016.jpg
    47.7 KB · Views: 9
Some time saa mbovu Huwa inasema kweli.Dudu baya aliwataja hadharani Kwa kuwa anawajuwa vizuri Tena ni watu maarufu watu wakamshambulia eti anawachafua watu.Sasa ma rolel model wenu ndo wanapakuliwa.
 
Haiumiizi chochote,, jitu kubwa zima nyapu zote hizi zilizojaa hizi za free boti ye linataka lifilweh yeye,,, liache tu lifilweh qum@nduguzake [emoji35]
Jamaa hatukupata jicho la ndani la kumtazama vyema..baada ya kuona ile video chafu na kutazama video zake vyema(comedy) huyu jamaa ni pro, inaonesha ameanza siku nyingi.
 
Ku
mbe hizo ndo content😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…