Skendo ya ushoga yamtafuna Hakika Ruben baada ya video zake kuvuja

Tangu siku ya kwanza naona clip yake kuna kundi fulani nikawaambia watu huyu jamaa ana ushoga na lazima analiwa...
Watanzania hamna exposure ya mambo mengi, ila kuna wasanii na watu maarufu wengi sana ni mashoga, nivile hamuwez kusoma matendo yao, ongea yao na ishara zao...
 
Sasa wew unazungumzia uminywaji wa haki za binaadamu
 
Kiukweli machoko wapo wengi sana ss hv...ni km kuna kampeni hv ya kuhalalisha ushoga...zaman haya mambo hayakuwepo kwa uwazi namna hii....na bahati mbaya wengine huwe wadhania maana hawana muonekano huo so ni changamoto kwa kweli....ubaya nadhan wote wanakulana....unakula na wewe unaliwa...kwa hyo ukiona mtu anakula mashoga jua nae asilimia kubwa anafokolewa pia
 
... kwenye maneno hayo alikuwa anajitambulisha kama mshiriki wa mapenzi ya jinsia moja kwa kumgombania mwanaume mwenzao yeye na mwenzake.
kwa waigizaji, huwa sipendi kuhukumu hadi ushahidi upatikane. Joti amekuwa akiigiza kama mwanamke kwa kuvaa wigi na gauni, lakini mambo yanaenda tu. Kimtokacho mtu rohoni ndicho kinachomtia najisi
 
Nafikri kuna taasisi au mtu analipa watu maarufu kama Hakika Rub wasambaze hizo habari ili kufikia watu wengi.

Lakini wao(wasanii) hawafanyi bali ni njia tu ya kusambaza ili jamii ione ni jambo la kawaida.

Solution: Hizi habari ni za kupuuza ili kusaidia jamii. Haina haja ya viongozi wakubwa wa dini au serikali kutoa kauli za misimamo au kukemea, kufanya hivyo ni kuzidi kupromote huo ushoga.

Ili kumaliza nguvu ya ushoga la kufanya ni kuupuuza nao utakuwa dhaifu.
 

Dimpoz kwa Pozii
 
Hii inawezekana mkuu, sijui tufiche wapi watoto wetu dah[emoji24]
 
Na mpaka sasa kundi hili ovu la UTETEZI linaongoza sjui tunaenda wapi.
Hata kama hujui soma na picha usielewe.
 
Jiwe alikuwa ni mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…