Skendo ya ushoga yamtafuna Hakika Ruben baada ya video zake kuvuja

Skendo ya ushoga yamtafuna Hakika Ruben baada ya video zake kuvuja

Si ya kucheka
IMG-20230309-WA0061.jpg
 
Hawa ni wa kufinya kimya kimya. Basi tu sina uwezo huo. Nyakati hizi ambapo ushoga ni kitu cha kawaida.
Hivi mnakumbuka enzi za jpm hawa wapuuzi walikuwa hawajitangazi? Embu niambie ni watu wangapi wanamfollow?

Hivi ikipita ka operation tokomeza mashoga na wasagaji si inaweza kusaidia.

Mimi naumia sababu nilimuona mtoto mdogo wa kiume amelawitiwa nyie ungetoa machozi.
Asante sana jeshi la polisi walimkamata muhusika yupo ndani.

Maskini kizazi kijacho!!!
Inauma sana mkuu 😭
 
Back
Top Bottom