Skendo ya ushoga yamtafuna Hakika Ruben baada ya video zake kuvuja

Mwanaume akishamwagiwa wazungu na mwanaume mwenzake utamjua tu.
Nadhani wazungu wanamuongezea MTU hormone za kike.
Lazima awe tende halua halua mpaka mwendo.
Machoko Wana muondoko wao flani hatua za hesabu na mwendo wa maringo.
 
Suala la ushoga mzizi wake ni mrefu sana. Ulishajiuliza kwa nini hapo awali halikuwepo kwa kasi kama ya sasa?

Ni mkakati maalum huu umeandaliwa. Ndio maana unaona hata kwenye movie zile za kigumu, unashangaa tu scene za gays zinaibuka. Huu ni mkakati hatar sana.

It needs spiritual healing to control it. Mungu atusaidie sana.
 
Hamuwezi kutuharibia soko,kumbuka nyie mna kitendea kazi kimoja tu...
Na hao mashoga wanavitendea kazi vingapi?

Maana Kuna shoga analiwa na yeye anakula na ana mke na watoto, mke nae anazani ana mume kumbe wote na mumewe ni wake za watu.
 
Solution: Hizi habari ni za kupuuza ili kusaidia jamii. Haina haja ya viongozi wakubwa wa dini au serikali kutoa kauli za misimamo au kukemea, kufanya hivyo ni kuzidi kupromote huo ushoga.
Nakubaliana na wewe, hizi habari viongozi waandamizi wawatumie vijana wao kupambana na hawa wanaoingiza hizi tamaduni, badala ya wao (viongozi) kutoa matamko mara kwa mara, kwani inawapa airtime na wanakuwa promoted bila sababu
 
Mwanaume unakuaje sio mtu wa mademu? Kua na mademu ni natural kwa mwanaume. Ukiona mwanaume hapendi wanawake ujue anapenda wanaume wenzie.
Sio sababu mbona Kuna mashoga Yana wake na watoto na bado yanapakuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…