Skendo ya ushoga yamtafuna Hakika Ruben baada ya video zake kuvuja

Skendo ya ushoga yamtafuna Hakika Ruben baada ya video zake kuvuja

Tangu siku ya kwanza naona clip yake kuna kundi fulani nikawaambia watu huyu jamaa ana ushoga na lazima analiwa...
Watanzania hamna exposure ya mambo mengi, ila kuna wasanii na watu maarufu wengi sana ni mashoga, nivile hamuwez kusoma matendo yao, ongea yao na ishara zao...
Kama yule kapigaa wa clouds...ongea ake tu lol
 
Si dhambi. Yusufu alikuwa hb na alijijua kuwa ni hb, Daudi, Suleiman, Sauli n.k

Kubali kataa wanaume hb's wapogo tuuu, na wanajijua.

Si dhambi na haihusiani na ushoga. Ni pride tu!
Sasa we endelea kujifananisha na Yusufu wa kale kwenye Karne hii...utaelewa kwa Nini nimekwambia so vema mtoto wa kiume kukaa unajinadi eti wewe Ni mzuri
 
Back
Top Bottom