Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mmoja wao ni wewe
Duh [emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmoja wao ni wewe
Wanatuzidi Hadi wanawake🤗🤗🤗🤗Naskia hadi shanga wanavaa 😅😅
Sijui Kama Ni shoga,Ila najua anapendaga kujisifu yeye Ni mzuri......tukemee watoto wetu wa kiume kujiita wazuri
Hata akiwa shoga Ni mambo yake binafsi. Tusitake kumchunguzaSijui Kama Ni shoga,Ila najua anapendaga kujisifu yeye Ni mzuri......tukemee watoto wetu wa kiume kujiita wazuri
😅😅😅 Wanataka kuchukua nafasi yenuWanatuzidi Hadi wanawake🤗🤗🤗🤗
Ukiwa sio mtu wa mademu unaitwa shoga.
Mkuu We ndo juma lokole nambari one?Acha kufuatilia maisha ya watu kama MAUMIVU anayapata yeye wewe unaumiaje?
Eti utani...🤓🤓🤓🤓nahisi wale jamaa wanalipwaa aisee tena hela ndefu... sasa ruben anapromote ushoga alafu baadae anaanza kusema ni utani sijui sio serious means kala hela ila anaona polisi mambo yanaenda sivyo ndivyo.
Tunajua na ww ni mmojawapo mbona kama umeumiaHata akiwa shoga Ni mambo yake binafsi. Tusitake kumchunguza
Hawasingiziwi wanajieleza wenyewe kuwa wameliwa hujaona videoSiku hizi tumetoka kwenye kuita watu kua wao ni Freemason,
Sasa hivi tumehamia kwenye kuita watu mashoga!
Kwahiyo kinasa msukuma ndio anakula yusufu na hakika tena aliwala siku moja, kwa maongezi hayo 100% jamaa anabokolewa
Acheni kijana aishi maisha yake. Mnamghasi ya nn?Tunajua na ww ni mmojawapo mbona kama umeumia
Usihofu kila kitu kitakuwa sawa.Andaa mahali.
Nazi ipo , mwenye connection atufanyie wepesi
Kinasa ndio nani mkuu?Kwahiyo kinasa msukuma ndio anakula yusufu na hakika tena aliwala siku moja, kwa maongezi hayo 100% jamaa anabokolewa