Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Wanawake hoyeeeee, Wanawake juuu!
Tupeni siri ya sketi za penseli jamani, yaani mimi huwa napenda sana mwanamke akivaa sketi ya penseli. Sijui kwanini.
Kipindi hicho wakati nilipokuwa mdogo ndio naanza mapenzi na wifi yenu nilikuwa namwambia kila appointment yetu akija gheto basi awe amevaa sketi ya penseli isivuke magoti na ukizingatia avivyojaliwa shepu daaaaaah.
Hadi leo hii nikimkuta mdada amevaa sketi ya penseli haswa baa au sehemu yeyote huwa namchangamkia sana na nampa hadi tipu.
Ukitaka kujua utamu wa sketi ya penseli ukipishana na mdada ambaye mguu ni mashallah, basi wewe geuka nyuma angalia kale kampasuo pamoja na zile dimpoz za miguu.
Hongereni sana wadada mnaovaa penseli. Huwa mnanivutia sana.
Mada bila picha ni umbea.