Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
😂😂 Nimezeeka hivyo vidude nimewaachia wadogo zangu.Ah kwa hiyo ata wewe una miliki moja au sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 Nimezeeka hivyo vidude nimewaachia wadogo zangu.Ah kwa hiyo ata wewe una miliki moja au sio
😂😂😂😂November 2024Aisee kumbe bado mweupe sana leo ndio nimejua hizo nguo zinaitwa sketi za penseli.
Muimba kwaya anakuwa na uso uliochangamka hivyo?Picha moja kweli, tena ya muimba kwaya..?? Hii mada ifutwe, haujaitendea haki.. tutagawaje pointi sasa.?