Sketi za penseli, vazi langu bora kwa wanawake

Sizipendi zile nikivaa nakua kama njiwa chembambaa😀 kimbilio ni skert blanket tu😃
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ah wee nyie viportable ndio wife material bwana hawa wavaa leggings na biker shorts ni wa hamu.
 
Wanawake hoyeeeee, Wanawake juuu!

Tupeni siri ya sketi za penseli jamani, yaani mimi huwa napenda sana mwanamke akivaa sketi ya penseli. Sijui kwanini.

Kipindi hicho wakati nilipokuwa mdogo ndio naanza mapenzi na wifi yenu nilikuwa namwambia kila appointment yetu akija gheto basi awe amevaa sketi ya penseli isivuke magoti na ukizingatia avivyojaliwa shepu daaaaaah.

Hadi leo hii nikimkuta mdada amevaa sketi ya penseli haswa baa au sehemu yeyote huwa namchangamkia sana na nampa hadi tipu.

Ukitaka kujua utamu wa sketi ya penseli ukipishana na mdada ambaye mguu ni mashallah, basi wewe geuka nyuma angalia kale kampasuo pamoja na zile dimpoz za miguu.

Hongereni sana wadada mnaovaa penseli. Huwa mnanivutia sana.
View attachment 3152397

Mada bila picha ni umbea.
Wanawake mnajuana wenyewe sheikh wangu. Mi hata sijaelewa kitu hapo.
 
Mwanaume badala usifie kazi za mikono yako unasifia mwanamke, you are typical idiot.
 
Ubarikiwe na upate hekima nzuri katika maono yako, Kazi za mikono yako zikabarikiwe na Mungu mkuu aliye Hai. Ahsante sana
 
Mwanaume badala usifie kazi za mikono yako unasifia mwanamke, you are typical idiot.
😅😅😅😅😅😅😅 eti wanawake oyeeeee, kama kada
 
Back
Top Bottom