Sketi za penseli, vazi langu bora kwa wanawake

Wanawake mnajuana wenyewe sheikh wangu. Mi hata sijaelewa kitu hapo.
 
Mwanaume badala usifie kazi za mikono yako unasifia mwanamke, you are typical idiot.
 
Mwanaume badala usifie kazi za mikono yako unasifia mwanamke, you are typical idiot.
Ubarikiwe na upate hekima nzuri katika maono yako, Kazi za mikono yako zikabarikiwe na Mungu mkuu aliye Hai. Ahsante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…