Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,564 Reaction score 34,341 Dec 14, 2024 #81 mzabzab said: Ah kwa hiyo ata wewe una miliki moja au sio Click to expand... ππ Nimezeeka hivyo vidude nimewaachia wadogo zangu.
mzabzab said: Ah kwa hiyo ata wewe una miliki moja au sio Click to expand... ππ Nimezeeka hivyo vidude nimewaachia wadogo zangu.
J Joline JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 4,541 Reaction score 7,378 Dec 23, 2024 #82 Mnyunguli said: Aisee kumbe bado mweupe sana leo ndio nimejua hizo nguo zinaitwa sketi za penseli. Click to expand... ππππNovember 2024
Mnyunguli said: Aisee kumbe bado mweupe sana leo ndio nimejua hizo nguo zinaitwa sketi za penseli. Click to expand... ππππNovember 2024
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Dec 23, 2024 #83 Ahyan said: Picha moja kweli, tena ya muimba kwaya..?? Hii mada ifutwe, haujaitendea haki.. tutagawaje pointi sasa.? Click to expand... Muimba kwaya anakuwa na uso uliochangamka hivyo?
Ahyan said: Picha moja kweli, tena ya muimba kwaya..?? Hii mada ifutwe, haujaitendea haki.. tutagawaje pointi sasa.? Click to expand... Muimba kwaya anakuwa na uso uliochangamka hivyo?