PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Hivi ukikutana na isha mashauzi utamshauri nini kuhusu kuvaa skini jeans
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukikutana na isha mashauzi utamshauri nini kuhusu kuvaa skini jeans
![]()
Tatizo sio skin jeans, tatizo ni umbile!Hivi ukikutana na isha mashauzi utamshauri nini kuhusu kuvaa skini jeans
![]()
Raha ya jinsi ikupendeze usiwe na kitambi, ukiwa na kitambi ni kama zigo liko mbele!Hivi ukikutana na isha mashauzi utamshauri nini kuhusu kuvaa skini jeans
![]()
Ina maana Anko Ngassa Mrisho Khalfan ndo Anakamua huu mzigo?Naamini huyu Mchezaji ambaye alichezea Klabu Bingwa isiyo na Hela sasa, akaenda kwa Wauza Ice Cream, akaja kuichezea Klabu ambayo leo hii Viongozi wake wananyea ' debe ' Segerea kisha akaenda Afrika ya Kusini, akatoka na kwenda Klabu moja hivi ya Yemen kama siyo Oman na sasa yupo katika Klabu ya ' Wambeya ' ama hakika anapata ' raha ' sana pindi Skin Jeans hiyo ikivuliwa na kutundikwa katika ' msumari '.
We usitutanie bhana khaaaAmependeza
Ina maana Anko Ngassa Mrisho Khalfan ndo Anakamua huu mzigo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ukikutana na isha mashauzi utamshauri nini kuhusu kuvaa skini jeans
![]()
unamaanisha aliyekula papuchi?Naamini huyu Mchezaji ambaye alichezea Klabu Bingwa isiyo na Hela sasa, akaenda kwa Wauza Ice Cream, akaja kuichezea Klabu ambayo leo hii Viongozi wake wananyea ' debe ' Segerea kisha akaenda Afrika ya Kusini, akatoka na kwenda Klabu moja hivi ya Yemen kama siyo Oman na sasa yupo katika Klabu ya ' Wambeya ' ama hakika anapata ' raha ' sana pindi Skin Jeans hiyo ikivuliwa na kutundikwa katika ' msumari '.