Skini jeans ya isha mashauzi ni nouma

Skini jeans ya isha mashauzi ni nouma

Kasimamia mikono au maana naona kama kapiga sarakasi vile [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitamshauri akivaa siku nyingine afunge zipu...


Ukimaindi natuma tena.
 
Hivi ukikutana na isha mashauzi utamshauri nini kuhusu kuvaa skini jeans

754243bfe3c7bf5adfe8342573f43796.jpg
Wanawake wa Dar hawaionei huruma mwili yao ndicho nilichojifunza
 
Jike la simbaaa nampenda sana isha nyimbo zake tamu umbile sio roho
 
Taratibuni jamani siku hizi Ni mke wa mtu!
 
Naamini huyu Mchezaji ambaye alichezea Klabu Bingwa isiyo na Hela sasa, akaenda kwa Wauza Ice Cream, akaja kuichezea Klabu ambayo leo hii Viongozi wake wananyea ' debe ' Segerea kisha akaenda Afrika ya Kusini, akatoka na kwenda Klabu moja hivi ya Yemen kama siyo Oman na sasa yupo katika Klabu ya ' Wambeya ' ama hakika anapata ' raha ' sana pindi Skin Jeans hiyo ikivuliwa na kutundikwa katika ' msumari '.

Huyo dogo alitokea pande za Kirumba Mwanza. Alikuwa anapenda sana kusogea mitaa ya Trave tine magomeni.

Dogo anaitendea haki ile nyimbo ya msaga sumu mwanaume Mashine.
 
Ningemshauri kwa Umbo lake asivae Skin Jeans, ningemshauri pia awaambie na WASANII wengine wa Muziki wa Mwambao, kuwa wanapendeza zaidi wanapo vaa Magauni....

Mwisho ningemshauri ajaribu kumpelekea Skin jeans, Khadija Kopa (kama zawadi) AONE KITAKACHO MKUTA...
 
Back
Top Bottom