Skini jeans ya isha mashauzi ni nouma

Skini jeans ya isha mashauzi ni nouma

Sisi tunataka burudani ya sauti yake, hayo ya skin jeans atajua mwenyewe na wa kwao huko.
 
Naamini huyu Mchezaji ambaye alichezea Klabu Bingwa isiyo na Hela sasa, akaenda kwa Wauza Ice Cream, akaja kuichezea Klabu ambayo leo hii Viongozi wake wananyea ' debe ' Segerea kisha akaenda Afrika ya Kusini, akatoka na kwenda Klabu moja hivi ya Yemen kama siyo Oman na sasa yupo katika Klabu ya ' Wambeya ' ama hakika anapata ' raha ' sana pindi Skin Jeans hiyo ikivuliwa na kutundikwa katika ' msumari '.
Ebwahahahahahaha. Nnnnnnnnh! Ebwahahahaha. Teh teh teh. Aaaaaaaseee! Ndhzaa.
 
Nitamshauri hata kama ameshikiwa bunduki atoke nduki jinzi asivae ni aibu! tena nani anamdanganya achomekee?
 
Awashauri na wanawake wenzake wavae ili sisi tusafishe macho mkuu.
 
Back
Top Bottom