Skini jeans ya isha mashauzi ni nouma

PRINCE PRIS

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
347
Reaction score
587
Hivi ukikutana na isha mashauzi utamshauri nini kuhusu kuvaa skini jeans

 
Reactions: MC7
Hivi ukikutana na isha mashauzi utamshauri nini kuhusu kuvaa skini jeans


Naamini huyu Mchezaji ambaye alichezea Klabu Bingwa isiyo na Hela sasa, akaenda kwa Wauza Ice Cream, akaja kuichezea Klabu ambayo leo hii Viongozi wake wananyea ' debe ' Segerea kisha akaenda Afrika ya Kusini, akatoka na kwenda Klabu moja hivi ya Yemen kama siyo Oman na sasa yupo katika Klabu ya ' Wambeya ' ama hakika anapata ' raha ' sana pindi Skin Jeans hiyo ikivuliwa na kutundikwa katika ' msumari '.
 
Ila nyimbo zake tamu , I hope na papuchi itakuwa tamu
 
Ina maana Anko Ngassa Mrisho Khalfan ndo Anakamua huu mzigo?
 
Kistobe hicho... kina kazi yake kwa wajua matumizi ya kistobe. Mwache ajiskin kwa raha zake....
 
madela ndio yanawapendeza wenye miili ya simba
 
unamaanisha aliyekula papuchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…